Emar
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 1,789
- 2,965
[emoji28][emoji28][emoji28] na hatimaye limeliwaMkuu pole kwa kupiga route mbalimbali za hapa na pale kwa ajili ya tunda kwenda kuliwa kimasihara!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji28][emoji28][emoji28] na hatimaye limeliwaMkuu pole kwa kupiga route mbalimbali za hapa na pale kwa ajili ya tunda kwenda kuliwa kimasihara!
Kama mwanaume basi sio riziki.Usiyachukulie maisha serious ki ivyo mkuu.
Unaweza kuta mtoa mada ni dume tu kama wewe.
Huna connection mkuu!Mnawapataje wapenzi huku JF maana wengi wanatumia majina Fake ? Na Ni ni link ipi ya kuwapata?
Kibonge na mimi nakuja ati![emoji28]Muda mchache mambo mengi
Weeee naanzaje kwa mfano😂mimi nawewe ni siri yetu,labda uanze wewe...lolhahaha
Lini utaleta ushuhuda wako hapa.
Kina Sanchez tuparanganyike
Inakuepusha na mengi hiyo avatar. Mshukuru Mungu.Tatizo hii avatar inaniangusha sana, na nilisha jaribu sana kuibadili ikagoma...
Yeye mara zote waliomkula kavu hawakumpa moto,amepima na yupo okey.Mama unafanya shughuli gani zinazokufanya uwe free kwenda Dodoma, mara Dar na mara nyingine kwenda Dar ukaweza kutaka kukaa wiki nzima?
Najua hapa kuna mifano mingine umeiminya. Nataka zaidi.
Utafiti wako umeufanya kwa wangapi hadi kufikia hitimisho hilo Aikambee?
Wifi alijua nawewe umo...looh wanaume wa humu mtawatoa roho jomoniii wake zenu😅Ukichangamsha macho kwenye utagundua kwamba kuna Wa Dodoma, Dar, Mbeya na Bukoba, alafu wote ni wanaume wa Jf....
Na alipo taja Dodoma, naona hadi wifi wako amepata kidogo mshtuko ndipo akanitumia link ya huu uzi
Mkuu, ebu ngoja kwanza wanaume tunao ishi Dodoma tupige kura ili kabla ya kuchangia tujuwe aliye kunyandua...
Unakuja wapi nawewe?Kibonge na mimi nakuja ati![emoji28]
Kudaddeeekkii wallaiiNimesoma post ya Priscallia namna alivyopata 'HIV' na namna alivyokuwa akigawa uroda kwa wanaume wa JF.
Pia nimezingatia post ya cutelove
Mimi mwenyewe nimewahi kutongoza humu nikakubaliwa ila nilikacha kuonana nao.
Hao wadada ni as follows:
Nitataja herufi za mwanzo za ID tu:
1.Ca
2.fe
3.ma
4. Me
Wengine sikumbuki
Pia nimezingatia comments za wanaume kwenye post mbalimbali humu JF
Upo??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]Hatari sanaaaaaaa
Kudaddeeekkii wallaii