Nilichogundua wanaume wengi wa JF hawatumii kondom, wanapenda 'Unprotected Sex'

Nilichogundua wanaume wengi wa JF hawatumii kondom, wanapenda 'Unprotected Sex'

Weeee naanzaje kwa mfano😂mimi nawewe ni siri yetu,labda uanze wewe...lol
sisi wakazi wa ununio. Mahali Upepo unapovuma maswala hayo hatuna.

Vijana hawajali kuhusu afya zako kabisa

Mnakulanaje bila condom Tanzania ya sasa hivi ambayo kwa siku mmoja watu 200 wanaambukizwa virusi na asilimia 80% ya hao ni jinsia ya kike.

Offer offer hizi na tamaa za kimaisha
Zinawamaliza sana kina dada wengi.
 
Aseee, uzee unanikosesha mengi sana siku hizi. Na hao ni waliodhihirisha uzembe wao ndiyo umewaongelea. Walio makini hujawaongelea.

Nakusalimia tu mjukuu wangu kipenzi cutelove
 
Mkuu naona unataka kuchomoa betri Napa[emoji4][emoji4]
Nimesoma post ya Priscallia namna alivyopata 'HIV' na namna alivyokuwa akigawa uroda kwa wanaume wa JF.

Pia nimezingatia post ya cutelove

Mimi mwenyewe nimewahi kutongoza humu nikakubaliwa ila nilikacha kuonana nao.

Hao wadada ni as follows:

Nitataja herufi za mwanzo za ID tu:

1.Ca

2.fe

3.ma

4. Me
Huyo me alinisimulia jinsi alivyosex na mwanaume wa JF japo ana mume na kuniambia kwamba Huyo mwanaume alimtia vizuri kuliko mumewe na hajawahi pata boro tamu as such.
Wengine sikumbuki

Pia nimezingatia comments za wanaume kwenye post mbalimbali humu JF
 
Aisee..nashangaa na huyo mke wa mtu..
 
Kaka ukimwi haupo mitandaoni tu,hapo unapokaa kuna ukimwi pia,wanaume unaowaona mitandaoni ni hao hao unaokutana nao hapo mtaani kwako au barabarani au safarini

Na love doesnt consider distance,mtu anaweza akawa Tanzania akawa na mpenzi Japan

Na huu sio kwamba nilikuwa field nafanya utafiti,ni hali tu ilitokea ningekuwa field ningebainisha kati ya wangapi walitumia kondom na wangap hawakutumia
Mimi ninachokupendea wewe ni msema kweli, yaani walah huvungi..... Hongera msema kweli mpenzi wa mungu
 
Back
Top Bottom