Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,055
- 8,540
sisi wakazi wa ununio. Mahali Upepo unapovuma maswala hayo hatuna.Weeee naanzaje kwa mfano😂mimi nawewe ni siri yetu,labda uanze wewe...lol
Vijana hawajali kuhusu afya zako kabisa
Mnakulanaje bila condom Tanzania ya sasa hivi ambayo kwa siku mmoja watu 200 wanaambukizwa virusi na asilimia 80% ya hao ni jinsia ya kike.
Offer offer hizi na tamaa za kimaisha
Zinawamaliza sana kina dada wengi.