Nilichogundua wanaume wengi wa JF hawatumii kondom, wanapenda 'Unprotected Sex'

Nilichogundua wanaume wengi wa JF hawatumii kondom, wanapenda 'Unprotected Sex'

Nilijua moja kwa moja ni wewe kumbe sio?
Ingekuwa ni mimi, pengine ningesema asante kwa walau kuondoa mkosi for the first time kwa kucheza na mkubwa mwenzangu hapa jf...[emoji23][emoji23]
 
Wadada wengi huwa wana washawisha wadada wengine kwa kuwasifia wapenzi wao hadharani.
Kumbuka lile saga la 2017
Mkuu wewe ni mtunzaji mzuri wa kumbukumbu hizi na unajua kuconnect dots. Sie ambao hatujui pm ndo tusome comments tu
 
Ingawa uwiano wa maambukizi ya HIV inaonyesha wanawake ndio walioambukizwa zaidi kuliko wanaume, ila nimegundua wanaume wanacheza rafu sex sana.

Mwaka 2018 January nilkutana na mwanaume humu, tukakubaliana kuwa wapenzi, yeye akiishi Dodoma Mimi nikiwa Bukoba. Siku ya kwanza ku-sex naye, hakutaka kutumia kondom, nilimlazimisha atumie maana tulikuwa hatujapima, lakini aligomagoma mpaka tukaahirisha, ingawa alikuwa analalama usiku huo kumnyima, nikamwambia haina haja ya kulalama.

Asubuhi alienda kutafuta kondom akaja tukasex lakini katikati ya gemu nikashtukia anatoa kuwa inamchelewesha kumaliza, sikutaka kupinga ikabidi niache tu amalize.

Baada ya hapo niliumia sana kufanya mapenzi bila kondom na bila kujua hali ya mwenzangu.

Sikutaka kurudiana naye tena, hadi ikaisha miezi 3 nikaenda kupima nikajikuta nipo salama, nikampa sharti la yeye kuendelea na mimi ni kupima, akakataa mahusiano yakafa.

Mwaka 2019 Machi nilkutana na kaka mmoja humu wa Dar, akaniomba tuwe kwenye mahusiano, nikaenda Dar lakini cha ajabu tuli-sex bila kinga na hatukupima, nikamuachia Mungu, ila nikavunja mahusiano baada ya kugundua ana mahusiano na mwanamke mwingine wa humu tunayefahamiana.

Mwingine akaja PM nikamwelewa wa huko huko Dar, nikamfuata. Huyu tuliingia hotel, kisha chumbani. Nikauliza kama ana kondom akasema hana, nikamwambia inabidi tulale mzungu wa nne mpaka asubuhi tukapime, tukishajua hali zetu nipo radhi kukaa hapa hotelini wiki nzima.

Akakubali kesho yake tungepima, kumbe hiyo kesho akatoweka, hakutaka tuonane, nikarudi zangu mkoani.

Nilichojifunza wanaume wengi wa JF wame-risk maisha yao kuhusu HIV.

Nimewahi kumuuliza mwanaume mmoja humu wa JF kwa nini wanaume wengi mnakuwa na kondom mfukoni lakini inapofika kwenye sex hamtumii zile kondom?

Alichonijibu ni kuwa ni kweli Dada, kinachotokea ni kuwa unaweza ukawa na dhamira ya kutumia kondom lakini wakati mpo chumbani, uzuri wa kasura, umbile, chuchu na mapaja na hata huko nyuma pameumuka vizuri; ile dhamira ya kutumia kondom hutoweka, hujitoa kula nyama nyama kwa sababu hatafaidi uzuri alio uona.

Ndo maana siku hizi sitaki wanaume PM.

Wanaume wa JF take care, wengi muna shule kichwani lakini mnadharau sana matumizi ya kondom na kuchek afya zenu.
Duh !!! Nawewe unazunguka Sana hao ni Wa jamii forums vipi Wa huko kwenu? Jamvi la wageni
 
Kwenye tangazo lako umesahau bei , yaani unauza shilling ngapi ukijumlisha na nauli yako.
Yaani jf tuu umepuyanga kiasi hiki huko mtaani khali sijui ipo vipi?😢
Tafuta kazi au biashara itakayokupa mahitaji yako hizo 7800 hazitakufikisha popote
 
Back
Top Bottom