Nilichogundua watu hawafungi

Binadamu Na Unafiki Wametenganishwa na Mstari Mwembamba Sana".

Hawaishi kwa Dhamira Wanaishi kuonekana
 
Jinsi mlivyo bize kuwalazimisha walio funga kinafiki wale mchana

Hizo NGUVU mngeziamishia kuwapelekea maskini ambao hawana chakula wapate na wao kula..

Msiwekee nguvu (Negative) nyingi kwenye positive things badala pambaneni wasio na chakula nao wapate kula
 
Kabisa ninatongozwa kama kawaida na kuliwa naliwa kama kawaida, ni bora tu wale kwa kweli hahhaha, watu wamejaa unafki sana wakidhani Mungu hawaoni, Mungu sio wakumnafikia jaman hahahh
 
Kuna sheikh anaitwa shekh Bakari kila akishafuturu jioni tunakula nae bia na konyagi,sasa sijui anafunga kitu gani?
 
Kuna sheikh anaitwa shekh Bakari kila akishafuru jioni tunakula nae bia na konyagi,sasa sijui anafunga kitu gani?
Wanasema kuwa ukifutur haina madhara ukifanya chochote anakuwa kasha fungulia
 
Sasa kuna wale wanafiki zaidi wanaofunga kisha wanawapiga wenzao wanaokula mchana. Unashindwa kuelewa amefunga nini kama ana nia ovu ya kuwapiga wasiofunga. Hiyo ni imani ya kishetwain
 
K
Wani mtu aliyefunga haruhusiwi ku sex Iddi Mosi?
In fact,anaruhusiwa ku sex kila siku after sundown.
 
Kuna Ile mida ya taraweeeh ....aaaah tunajilia vyetu tu Kwa warembo wa kiislam na wamefunga.....
 
Acha wateseke! Wanalazimishwa kufunga wakidhani kwa kufuata sheria za dini watamwona Mungu. Wakuhubiriwa habari njema za Yesu Kristo kuwa yeye ndiye Njia na kweli hataki kusikia. Siku wakifa ndipo watakujagundua kuwa dini haimpi mtu uzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…