Nilichojifunza baada ya kupitia mikataba ya makubaliano mbalimbali ya DP World

Mkuu Dubai sio nchi.
 
Reactions: RNA
Shida kwenye DP world ziko tatu:
1. Wapigaji na wenye maslahi binafsi na bandari lazima wapinge mirija yao kukatwa;
2. Watanzania wengi ni wakurupukaji na wadandia hoja. Wengi wanaopinga hata huo mkataba hawajauona wala kuusoma lakini kwa kuwa ni bendera fuata upepo wanapinga tu; na,
3. Kwa kuwa DP World ni kampuni ya Dubai na ni Waarabu sishangai kuona upinzani umekuwa mkubwa sana. Hili linafahamika sana kwa mazingira ya nchi yetu yalivyo. Kama wangekuwa Wazungu povu lisingekuwa kubwa hivi
 
Kwani Prof mbawala anasemaje ?
 
Reactions: RNA
"Wanasheria wazoefu kama TUNDU LISSU na KIBATALA"

Hizi ni [emoji706][emoji706][emoji706]
 
Reactions: RNA
Bunge ambalo lilipatikana kwa uchaguzi wa kishenzi wa 2020 ndio limetumika kubariki hizo hujuma dhidi ya raslimali za watanganyika.
 
Reactions: RNA
Juzi ilikuwa kuwatimua wamasai, jana ilikuwa bandari kesho itakuwa Nini?
 
Reactions: RNA
Tutaamkaje na tunafikilia kwa matako na sio akili ??sisi ni viazi vitamu
 
Reactions: RNA
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…