ferre.g
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 2,215
- 329
Wadau humu kuna watu wanajiita ni wakulima wa viazi, vitunguu, nyanya, tikiti nk mradi yumo tu naye..
Anafikia wakati anasema um pm... Ili aku add group Fulani labda vitunguu nk....
Uki mp hana mrejesho zaidi anakujibu Mkuu nimekusoma...
Wengi wao ni waongo si wakulima ila wana bate tuuu na si wajasiria amali kma lilivo lengo la jukwaa hili.
Wengine hufikia hadi kutoa bei ya soko as if amelihandle soko mkononi mwake...
Narudia 89%ya wadau hawa ni waongo na matapeli wa mkulima...
Asanteni na mbadilike wakuuu mwaka mpya waja. Amina