Si utapeli katika kilimo ila kuna utapeli wa kila nyanja upo humu ndani, hadi utapeli wa kujifanya much know wa kila jambo, utapeli wa hoja, na wengine humu ndani wamegeuka kama admin na kugeuza jukwaa kama pool table, nimekupata

Naomba mnisaidie mtu ampepost alafu anasema uki pm anamaana gan.naomba kirefu cha pm.
Hamu jukwaani, ni sehemu ambayo ile dhana ya Prof. "...akiri ya kuambiwa..." Ndio inatakiwa kutumika kwa makini sana hata ikiwezekana kuliko sehemu ingine. Pole sana.sina hamu kabisa nilituma hela kwa mtu ya kuleta kuku wa kienyeji mpaka leo afadhali angeniletea hata manyai aniambie kachukue sehemu fulani nusu ya pesa niliompa weee...
kingine nikaingia chaka nikaletewa kuku toka mkoani uwi nikampa chanjo yote siku ya tisa wamelala wote
Bwana ametoa bwana ametwaa
Umenena Ukweli Mkuu..... Kuna mkulima wa vitunguu humu anadai huuza hadi laki gunia... Na ameenda mbele hadi anasema ni pm niku add ktk whatsapp... Tuwe karibu zaidi kumbe tapeli tu....
Wengine ndo kma ulivonena utadhani jukwaa admn kumbe upuuz mtupu
How can you send private message?
sina hamu kabisa nilituma hela kwa mtu ya kuleta kuku wa kienyeji mpaka leo afadhali angeniletea hata manyai aniambie kachukue sehemu fulani nusu ya pesa niliompa weee...
kingine nikaingia chaka nikaletewa kuku toka mkoani uwi nikampa chanjo yote siku ya tisa wamelala wote
Bwana ametoa bwana ametwaa
pdidy wewe ni kati ya member wakongwe wa jf inasikitisha kuona una tapeliwa kizembe(lack of a better word) rules za jf ziko open na mod wanatoa angalizo la uwepo wa matapeli hapa jf,na wametoa njia za kufanya biashara kupitia jf lazma uwashirikishe wao mods kwa usalama zaidi.
Sio kama nakulaumu but najaribu kukumbusha tu nendeni kwa step msipende haraka ina umiza.
Otherwise pole sana kwa yaliyo kukuta jifunze kutokana na makosa.
How can you send private message?
Unaweza ukamtumia kwa kukodisha tax au dala dala za mbagara langi 3