Nilichojifunza jukwaa hili... ni udanganyifu wa members

Poleni wana JF kwa ta bia za baadhi yetu. Na mimi nikitokea nimemtapeli mtu mniambie tu jamani maana inauma kudanganywa na mtu uliemwamini
 


ulichosema ni ukweli mtupu.. ila kupitia jf hasa ujasiriamali siwezi kujutia kwani sikuwahi kufuga kuku hasa hawa wa kizungu lakini now ninao 500(broilers)... nawashukuru wachangiaji wote ambao quote zao zimenifikisha hapa nilipo... ttz tusipende kujifanya tunajua kila kitu ingawa tukiamua tunaweza tukajua kila kitu... tupunguze masikhara kwenye mambo ya msingi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…