NIlichojifunza katika mechi ya leo ya Yanga VS Geita Gold

Dk umekuwaje siku hizi unalopoka lopoka tu kama mtu ameandika usichokitaka si ukae kimya hivi huon aibu!!!
Mod wanasubiri umjibu vibaya wakupige ban badala ya kumshughulikia.

Humu kuna watu wanachuki za kijinga hivyo ni kuwapotezea tu.
 
hivi kwanini wasipige marufuku? Kwa mtu asie na weledi tambuka kuchambua soka?
Ianachukulia kama freedom of speech na maoni, pia wanachukulia kama ni sehemu ya burudani tu.
Matokeo yake kila siku wanaibuka kama yale makanisa mapya.
 
Huwa inategemea na mpinzani. Kama unakumbuka goli la Kibu D dhidi ya Yanga lilitokana na counter attack waliyofanya Simba, hadi Yanga walibaki wachezaji wawili against wanne wa Simba
Unaongelea mechi ya kichawi Ile, Ile nayo ilikuwa mechi ama mauzauza ya waganga wenu wa tanga
 
Mbona magoli yote yamefungwa kwenye mazingira magumu kuliko ulivyoelezea?
Kuanzia mtoa pasi hadi mfungaji wote wanakuwa wapo wanakabiliana na 'msitu' wa mabeki.
Kabisa,Geita walijitahiti ila kwa juhudi za wachezaji wa Yanga lazima mfungwe tu.
 
Yanga wanapenda kucheza mpira wa kushambulia, ndio maana hata beki zao za pembeni zinapanda Sana. Timu nyingi zinazocheza na yanga zinaenda kupaki bus matokeo take mpira muda mwingi unachezwa golini mwa wapinzani. Ikipata mpinzani ambaye anashambulia Sana watapata shida Sana kwani itabidi na wao wasipande na mchezo itakuwa ngumu.
 
Bongo uchambuzi umeingiliwa, hata wachambua mchele na mboga nao wameanza kutuchambulia mpira, so imeshakua vururu vururu tu.
Football is a game of opinion.., ndio maana its a beautiful game hakuna Jibu Moja...., Hii sio Algebra, ingawa hata Quadratic Equation inaweza ikawa na jibu zaidi ya moja
 
Kuwa open game hakumfanyi kila aliyeona kuwa ni analyst, wanaweza wakawa wasimuliaji tu au waburudikaji.
 
Not Open; bali Opinion..., kwahio kila mwenye opinion anaweza kufanya analysis (detailed examination).., na sababu kila anyeangalia ana opinion zake nini kilitendeka, hivyo kama akifanya detailed examination basi anafanya analysis..., kama akielezea kilichotokea basi anasimulia..., na kama anaangalia kama burudani basi ni mburudikaji na kama anapata ujira basi ni ajira yake...
 
Everything is subjected to opinions mkuu, na opinions zinaweza zikatokana na hisia/mapenzi, historia, uzoefu au elimu ya mtoa maoni n.k lakini uchambuzi hasa hiyo “detailed examination” it’s too deep, haiwezi ikatolewa kwa hisia, I hope hilo unalijua vyema.
Analysis ina vigezo vyake na ndiyo ninachokiongelea mimi.
Kama wangekuwa wanatoa opinions tu wala nisinge daubt, ila wao wanasema ni analysis na wanajiita wataalam
 
Nope Mkuu Hesabu haina opinions ni rules na wala sio Subjective..., Uzuri wa mtoto fulani wa Kike unaweza ukawa subjective examination detailed ni kwamba unakiongelea kitu kwa kukichambua (kwahio unachambua) hata kama unachambua mchele na unaacha pumba (yaani unapotosha watu) lakini haikuondolei kwamba umechambua - Uchambuzi ni kile kitendo cha kuchambua - Kwahio anayechambua ni mchambuzi (ubora wake katika huo uchambuzi is another matter)

Wanachambua katika zile dakika tisini wanachambua kwanini hiki kimekuwa vile au yule kafanya hiki na angefanya hiki au kile ingekuwa vile.....; Huenda wanapotoka na kuongea pumba ila haiondoi uhalisia kwamba wanachofanya ni kuchambua...., Na sababu football is a game of opinions kila mtu ana opinions what is and what's not ndio maana inapendeza zaidi sababu wote tungekuwa tunakubaliana au tunawasikiliza wachache basi ingekuwa boring....
 
Mkuu, na wewe kwa asilimia nyingi sana, maana umeiweka vyema. Being a
Game of opinions ndiyo kinachoipa umasrufu football, kila mtu mitaani ana air out vile aonavyo inafaa, ingefaa au itakavyofaa.
Shida yangu ni pale mikadala inapohama kutoka mitaani na kuwekewa majukwaa yanayoihitaji watu wenye weledi katika uchambuzibwa kimantiki, hapo ndipo mimi ninapoona kasoro katika aina za weledi hao.
Maana kama ni opinions huwa tunaxifurahia sana, na kila kabla au naada ya mchezo huwa tunatafuta sana opinions za watu huku vijiweni, hizo opinions ndiyo uhai wenyewe wa soka
 
Back
Top Bottom