Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,366
- 14,167
- Thread starter
-
- #241
Sawa tutaumia kwa sababu ya kimya chakoSitak mambo makubwa ila wataumia wengi sana
SawaNalifahamu hilo dada kwako na halitaweza kutokea kabisa
Hahhahhaha hapana mama angu wala hatuna maringo mkuje tu na mtutafute vizuri sana tutawapokeaWanawake wa dar banah sio kwa maringo hayo, kwahiyo sisi wa mkoani tukija dar tusihangaike kuwatafuta [emoji57][emoji57][emoji57],ipo siku tuu mtaona umuhimu wetu
Ha haaaa wanawake wa dar..Wanawake wa dar banah sio kwa maringo hayo, kwahiyo sisi wa mkoani tukija dar tusihangaike kuwatafuta [emoji57][emoji57][emoji57],ipo siku tuu mtaona umuhimu wetu
HayaaaaaaDuh..
Ngoja nisubiri mpaka 2020 nitakuwa zaidi ya 45
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Shem niko makini sana sihitaji wengine hawa wa5 wananitosha sanaYeah for sure Shemeji
Kuwa makini nakuaminia Shem lake uko vizuri uwezi kupata vimonza.
[emoji23]
Tokea tokea kule mkuu usipotee sanaHahaaa haaa...
Kitambo sana kwenye ile Uzi wenu nimewmiss kweli
Hamna yaliyonikuta Bali niliyojifunza kwa members
Hehehehhehehehe kuna member hapa ni mzito serikalini anavyoandika sasa kama jobless kumbe ni Hatari huwez kuta anadharau ovyooooo hata kama anawala wasichana basi huwez kuamin hahahahahah nacheka kihutuuuuuMmmh nini mama?? Au umefanikiwa kujua upande wake wa pili humu? [emoji23][emoji23][emoji23]. Basi kuna member pia anaandikaga vitu utasema mtoto mdogo ila upande wa pili ni bonge la mtu yani. Yani ni mtu mwenye sura mbili tofauti.
Sema kuna mmoja na mie anavyoandika nikisoma moyo unapiga ti ti ti kwa anavyonikosha. Naogopa nisije tokea kuzoeana nae halafu nikakuta sivyo ninavyomuona
Kichwa cha habari na habari yenyewe ni funzo tosha mkuuNipe somo nijifunze mkuu
Ndio uzidi zidi tu kumqouteNgoja aje basiiiii...huwa namquote mara chache.
Mmmh sidhaniKutokea kunipenda bila sababu ya msingi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shemeji mbona umecheka tangazo kama la kazi za serikalini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaaa. Sitaki mieeeeee.Nyuzi za hivi zinachosha jaman hasa comments kila mtu mjanja kila mtu ana watu wake khaaa utoto tu kuweni bwana
Mhhhh timu imekamilika sasaBora wewe watatuu...
Zaidi yako siwezi tena
Team inatosha sana hiyoHiyo timu imekamilika hamtaki kupitwa na jambo[emoji1] [emoji1]
Indeed madam, where there is hope there is lifeHopefully you are not one of them!
Kweli hapa pataniponza sikuPoleeee san wifiii usiangalie comment hapo ndo tunapokoseaaa
Nimemiss like yakoNyuzi za hivi zinachosha jaman hasa comments kila mtu mjanja kila mtu ana watu wake khaaa utoto tu kuweni bwana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyuzi za hivi zinachosha jaman hasa comments kila mtu mjanja kila mtu ana watu wake khaaa utoto tu kuweni bwana