Nilichojifunza kuhusu JF

Nilichojifunza kuhusu JF

Status
Not open for further replies.
Mmmh nini mama?? Au umefanikiwa kujua upande wake wa pili humu? [emoji23][emoji23][emoji23]. Basi kuna member pia anaandikaga vitu utasema mtoto mdogo ila upande wa pili ni bonge la mtu yani. Yani ni mtu mwenye sura mbili tofauti.

Sema kuna mmoja na mie anavyoandika nikisoma moyo unapiga ti ti ti kwa anavyonikosha. Naogopa nisije tokea kuzoeana nae halafu nikakuta sivyo ninavyomuona
Hehehehhehehehe kuna member hapa ni mzito serikalini anavyoandika sasa kama jobless kumbe ni Hatari huwez kuta anadharau ovyooooo hata kama anawala wasichana basi huwez kuamin hahahahahah nacheka kihutuuuuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom