Mwaya ukitaka kwenda dar unipitie tumchukue na mbiti achana na kina shunie.Ha haaaa wanawake wa dar..
Hahahaaa. Tumeshakua sisi wawili tunatosha rafiki.Majigambo kila kona hayafai. Tukue tu haraka haraka
Yani na inakatisha tamaa hiiNi kweli..lkn ujue ukiwasiliana na mtu kuna picha fulani inakujia na mara nyingi ni tofauti kabisa na uhalisia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ney bana usitufanyie hivyoWala hatutaki tena tutakuja kakikundi tushikane mikono tusije gongwa na mwendokasi
Vyovyote itakavyo kuwa cha muhimu ni wewe kuwa makini tu, people are resources Shemeji kuwa makini Tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Shem niko makini sana sihitaji wengine hawa wa5 wananitosha sana
Nitamwambia mshana akuchanje kwanza afu umuweke hadharaniAna kisasi huyoooo asije niua bure demiss miye nikamkosa mme wangu mganga
HatutakiiNiwekeni mchezaji wa akiba
Hapana mkuu mbona makapuku tupoTatizo humu jf kila mtu wa kishua yaani utasema wanatoka Jupiter ndo maana mi kapuku napita tu
Nacheka kihutuuuuu demiss miye mtu ana stress za maisha anaona bora afungue id 5 labda zitamliwaza hehehhehehehehehiyaaaaaJamani
Mbona unamfundisha rafiki yangu tabia mbaya shunie umekuwaje lakiniNdio uzidi zidi tu kumqoute
Unahusu nn Kelvin uzi unaotaka wa kukupa kikiUzi ila ni just eeh kiki
Chui vs kondoo = mbogaHahaaaa. Huna ya kuyamwaga humu rafiki.
Sababu siku hizi ni mwendo wa nyuzi za kufunguka tu hata kina chui tunavaa ngozi za kondoo. Koh koh.
Ilimradi tu tumepata pa kutapikia. Lol.
Namm unanipimaje ...mkolon?? . Haaaaahaa unpredictable .Maandishi yake na comments zake. Hicho ni kipimo cha kwanza wifi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Na sisi tutakuja huko mjueMwaya ukitaka kwenda dar unipitie tumchukue na mbiti achana na kina shunie.
Siyo jina lake halisi lileIna maana wewe hukuona kipindi kile cha watu kuumbuana humu hadi picha za nyan zikawekwa humu na mwishowe ikabidi afungue kabisa ID yenye jina lake halisi na picha yake, sitaki BAN kwa heri mkuu mwingine aendeleze
Unahisi Demiss 26 kumbe tukinao na wajukuu natembea na mkongojoUnajua kuna wakati mandishi tunaandika tukiwa katika hali tofauti na uhalisia
Sisi huwa tunasema hisia hukupa kitu tofauti
Maana unaweza kuhisi hivi ukakuta kiko vile
Kwa sababu dodoma kuna mirembe Hamna tatizo[emoji1] [emoji1]Dodoma
Asante sana shemeji yangu ndio mana nakupenda mmVyovyote itakavyo kuwa cha muhimu ni wewe kuwa makini tu, people are resources Shemeji kuwa makini Tu.