Nilichojifunza kuhusu JF

Nilichojifunza kuhusu JF

Status
Not open for further replies.
Hehehehhehehehe kuna member hapa ni mzito serikalini anavyoandika sasa kama jobless kumbe ni Hatari huwez kuta anadharau ovyooooo hata kama anawala wasichana basi huwez kuamin hahahahahah nacheka kihutuuuuu
Hao sasa wana kila kitu na hawana dharau wala umalaya wa wazi wazi. Wenzetu na sie sasa [emoji23][emoji23]
 
Nacheka kihutuuuuu demiss miye mtu ana stress za maisha anaona bora afungue id 5 labda zitamliwaza hehehhehehehehehiyaaaaa

Hajui kama ukiwa na stress ukija jf unapunguza stress kwan nan aliyekamilika bhn.

Anakaa kudanga kwa wanawake tu

Hebu ngj nikahudumie mama ntilie miyeeee maana tutafukua makaburi ambayo hayafai
Sasa hizo I'd 5 za nn
 
Tatizo hatujaelewa kuwa watu tunaoishi nao mtaaani ndo hao hao wapo Jf tatizo tunajenga taswiraa tofauti tunawazaa vitu dhahania mtu anavyoandika comment kama kijana wa 24 kumbe muhenga wa 59 hivyo usibabaishwe na I'D.


Piah usimuamini kabisa mtu anayejificha nyuma ya keyboard.

Kama ulifanya kosa kufahamiana na watu wachache pangusaaa vumbi la takooo songa mbele anza maisha mapya kaa nao mbali.
Kabisaaaa yaani
 
Mkuu sijawahi kujihusisha kimapenzi na mdada yeyote wa humu JF..

Pia sina mawasiliano yoyote na mdada yeyote wa humu..

Tatizo langu na Nyani halikuwa ugomvi/wivu wa kimapenzi.. Kulikuwa na ligi ambayo kwa upande wangu hayo mambo nilishayamaliza.. Hao wanawake waliojiingiza kwenye huo ugomvi ndio wakaja kuwa victims baadae jambo ambalo binafsi sikulifurahia..

Brav what up !!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom