Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Ngastuka machale kundesaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao sasa wana kila kitu na hawana dharau wala umalaya wa wazi wazi. Wenzetu na sie sasa [emoji23][emoji23]Hehehehhehehehe kuna member hapa ni mzito serikalini anavyoandika sasa kama jobless kumbe ni Hatari huwez kuta anadharau ovyooooo hata kama anawala wasichana basi huwez kuamin hahahahahah nacheka kihutuuuuu
Sasa hizo I'd 5 za nnNacheka kihutuuuuu demiss miye mtu ana stress za maisha anaona bora afungue id 5 labda zitamliwaza hehehhehehehehehiyaaaaa
Hajui kama ukiwa na stress ukija jf unapunguza stress kwan nan aliyekamilika bhn.
Anakaa kudanga kwa wanawake tu
Hebu ngj nikahudumie mama ntilie miyeeee maana tutafukua makaburi ambayo hayafai
Hapo utakuwa huru ndani ya jf ukiishi peke yakoTatizo humu jf kila mtu wa kishua yaani utasema wanatoka Jupiter ndo maana mi kapuku napita tu
Usiniambie umekutana na Demiss hahahahahahahahah DomDodoma
Kabisaaaa yaaniTatizo hatujaelewa kuwa watu tunaoishi nao mtaaani ndo hao hao wapo Jf tatizo tunajenga taswiraa tofauti tunawazaa vitu dhahania mtu anavyoandika comment kama kijana wa 24 kumbe muhenga wa 59 hivyo usibabaishwe na I'D.
Piah usimuamini kabisa mtu anayejificha nyuma ya keyboard.
Kama ulifanya kosa kufahamiana na watu wachache pangusaaa vumbi la takooo songa mbele anza maisha mapya kaa nao mbali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio tabia mbaya namrahisishia kazi kwa nn afe na tai shingoniMbona unamfundisha rafiki yangu tabia mbaya shunie umekuwaje lakini
Nacheka kihutuTatizo humu jf kila mtu wa kishua yaani utasema wanatoka Jupiter ndo maana mi kapuku napita tu
Mkuu sijawahi kujihusisha kimapenzi na mdada yeyote wa humu JF..
Pia sina mawasiliano yoyote na mdada yeyote wa humu..
Tatizo langu na Nyani halikuwa ugomvi/wivu wa kimapenzi.. Kulikuwa na ligi ambayo kwa upande wangu hayo mambo nilishayamaliza.. Hao wanawake waliojiingiza kwenye huo ugomvi ndio wakaja kuwa victims baadae jambo ambalo binafsi sikulifurahia..
Niwaitaje mkuu maana napendaga mnavyopashana habariWala sio timu mkuu
Wee cheka tuu lakini nimekasirika kwa niaba ya wenzangu [emoji26][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana mkuu mbona makapuku tupo
Yaani wewe si uje uninong'oneze? Naishia kuumiza kichwa tu hapaNawajua sana tena sanaaaaaa id yake moja inatumikia ban inayooanzia na kama moja
Mmhh!Sio ule uzi, ila ulimhusu huyo huyo wa sikio, alikuwa ana date na mdada wa humu ambaye alimjua ndani na nje, kumbe huyo mdada alikuwa wa fisadikuu....... mengine baadae naogopa BAN. ule uzi ulifutwa. hahahahahah
Ubinafsiii huoooHatutakii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Net bana usitufanyie hivyo
Na mimi nakupenda pia Shemeji yangu.Asante sana shemeji yangu ndio mana nakupenda mm
Wanajidai wenyewe wamesahau Dar ni mkoani siku hizi. Jiji limehamia Dom!Mwaya ukitaka kwenda dar unipitie tumchukue na mbiti achana na kina shunie.
Habari gani tena mkuuNiwaitaje mkuu maana napendaga mnavyopashana habari
Ndo maana Demiss huwa nacheka kihutuuuuu maaana naongea na wenye mbwa siyo mbwaaaHao sasa wana kila kitu na hawana dharau wala umalaya wa wazi wazi. Wenzetu na sie sasa [emoji23][emoji23]