Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Kweli kabisaUnahisi Demiss 26 kumbe tukinao na wajukuu natembea na mkongojo
AhaaaaaMimi ndo najutaaa kabisaaa mpaka nalia hehehehe hakiii wakikupa laki 5 utoe siri zangu usisahau kuwaambia namiliki kispacial
Msitutafute hatuwataki wanawake wa dar mnatunyanyapaa mno.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Na sisi tutakuja huko mjue
Bora umekujaMkuu sijawahi kujihusisha kimapenzi na mdada yeyote wa humu JF..
Pia sina mawasiliano yoyote na mdada yeyote wa humu..
Tatizo langu na Nyani halikuwa ugomvi/wivu wa kimapenzi.. Kulikuwa na ligi ambayo kwa upande wangu hayo mambo nilishayamaliza.. Hao wanawake waliojiingiza kwenye huo ugomvi ndio wakaja kuwa victims baadae jambo ambalo binafsi sikulifurahia..
Moja ni ya ustarabu ya pili hehehehiyaaa ya 3 balaaaa ya 4 sitak kumaliza uhondoooSasa hizo I'd 5 za nn
[emoji173] [emoji173] [emoji173]Unahusu nn Kelvin uzi unaotaka wa kukupa kiki
Hahahaaa. Tumeshakua sisi wawili tunatosha rafiki.
Yani wifi unakua kama Milly kutupa ubuyu kwa codeNawajua sana tena sanaaaaaa id yake moja inatumikia ban inayooanzia na kama moja
Makapuku tupo na wala hatujikwezi wanaojikweza pole yao sanaBasi kama wapo nahisi nao wanajikweza ili wasionekane wasije kosa wakujuana nao alafu mwisho wa siku ndo yanatibuka huko wanarudi kuanikana humu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio tabia mbaya namrahisishia kazi kwa nn afe na tai shingoni
Tunaigiaza bwana wee wala hamna hilo. Wapo washua kweli ila wengi tunaigiza mwayaTatizo humu jf kila mtu wa kishua yaani utasema wanatoka Jupiter ndo maana mi kapuku napita tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani wewe si uje uninong'oneze? Naishia kuumiza kichwa tu hapa
Tukija mtupokeeWanajidai wenyewe wamesahau Dar ni mkoani siku hizi. Jiji limehamia Dom!
Daaah
Binti mpole
Njoo mwaya tutakupokea.Mwaya ukitaka kwenda dar unipitie tumchukue na mbiti achana na kina shunie.
Msitutenge jamaniMsitutafute hatuwataki wanawake wa dar mnatunyanyapaa mno.
Nitarud alafu nitasoma page to page muda si mrefu atakuja na id ile yenye H na S za herufi ndogo .Yaani wewe si uje uninong'oneze? Naishia kuumiza kichwa tu hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lol.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanajidai wenyewe wamesahau Dar ni mkoani siku hizi. Jiji limehamia Dom!
Zinazojiri kwenye majukwaa pendwaHabari gani tena mkuu