me nikushauri tu usikutane na mtu ambaye katika masaa 24 yeye anatumia masaa 7 nk akiwa jf kwa Sikh saba za wikiUtajuaje kama huyu mtu wa hovyo?
Nipe mbinu
Kumtaja hutakiMoja ni ya ustarabu ya pili hehehehiyaaa ya 3 balaaaa ya 4 sitak kumaliza uhondooo
Soma hapaKweli kabisa
Dunia pana sana inahitaji ujitathimini sana na usiruuhusu mihemko ya mwili ikupeleke
Khaaaaaaa wa kusema kwamba we ni mbebez wangu[emoji173] [emoji173] [emoji173]
Wewe nakupima mtoto. Huna kaba. Ni rahisi kuyatoa ya pm/mtaani kuyaleta humu kuyaanzishia uzi. Kama nimekusoma vibaya am soleeeNamm unanipimaje ...mkolon?? . Haaaaahaa unpredictable .
me nikushauri tu usikutane na mtu ambaye katika masaa 24 yeye anatumia masaa 7 nk akiwa jf kwa Siku saba za wikiUtajuaje kama huyu mtu wa hovyo?
Nipe mbinu
Weweweeeeee nitarud nakwambiaa unaniuza kwa jero?Ahaaaaa
Laki 5 nyingi ivooo, jero tu hadi mlangoni nawaleta
Makapuku tupo na wala hatujikwezi wanaojikweza pole yao sana
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nimefungua tu nikaona nifanye tafiti kuhusu tuhuma za bro, ghafla sijakaa sanaNaona kijana hb leo umeweka makazi huku
Ahaa sawa hamna nenoNjoo mwaya tutakupokea.
Sawa banahMsitutenge jamani
Wamekusikia mkuu wanaoanikanaBasi mjitahidi kukubaliana na hali hata mnapokutana nje ya jf mpunguze kuanikana hadharani
Hao watu ni balaaa ingawaje sio woteme nikushauri tu usikutane na mtu ambaye katika masaa 24 yeye anatumia masaa 7 nk akiwa jf kwa Sikh saba za wiki
Tunaigiaza bwana wee wala hamna hilo. Wapo washua kweli ila wengi tunaigiza mwaya
Niko hapa mama. Ukija mjini niite nami nitaitikia.Wee cheka tuu lakini nimekasirika kwa niaba ya wenzangu [emoji26]
Nimefungua tu nikaona nifanye tafiti kuhusu tuhuma za bro, ghafla sijakaa sana
Umetokea Kweli.
Duuhh basi ngoja nifanye jitihada nisiwe mtoto etiiii..Wewe nakupima mtoto. Huna kaba. Ni rahisi kuyatoa ya pm/mtaani kuyaleta humu kuyaanzishia uzi. Kama nimekusoma vibaya am soleee
Nipm ID zake zote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanajidai wenyewe wamesahau Dar ni mkoani siku hizi. Jiji limehamia Dom!