sawa. mimi sio kaka lakiniKaka taarifa zako wanazo wenye taarifa
Bora ubaki na gundu lako kuliko balaa la jf membersNimi natafuta wa kufahamiana nae nitoe gundu
Bora uje room maana hapa naogopa BAN kama sio kuitwa mchochezi.dah naja inbox unipe umbea huu
Ziko nyingi hiyo bado ya moto motoNdio ile yenye sikio moja au Kuna Uzi mwingine?
Asante kwa kukaziaTatizo hatujaelewa kuwa watu tunaoishi nao mtaaani ndo hao hao wapo Jf tatizo tunajenga taswiraa tofauti tunawazaa vitu dhahania mtu anavyoandika comment kama kijana wa 24 kumbe muhenga wa 59 hivyo usibabaishwe na I'D.
Piah usimuamini kabisa mtu anayejificha nyuma ya keyboard.
Kama ulifanya kosa kufahamiana na watu wachache pangusaaa vumbi la takooo songa mbele anza maisha mapya kaa nao mbali.
Sio ule uzi, ila ulimhusu huyo huyo wa sikio, alikuwa ana date na mdada wa humu ambaye alimjua ndani na nje, kumbe huyo mdada alikuwa wa fisadikuu....... mengine baadae naogopa BAN. ule uzi ulifutwa. hahahahahah
Ha haaaa haaaaaa Aiseee niliukosa huo!Sio ule uzi, ila ulimhusu huyo huyo wa sikio, alikuwa ana date na mdada wa humu ambaye alimjua ndani na nje, kumbe huyo mdada alikuwa wa fisadikuu....... mengine baadae naogopa BAN. ule uzi ulifutwa. hahahahahah
Kumjua moja kwa moja huwezi ila kwa comments zake waweza kubashiri ..mengine hujulikana mbeleni baada ya kupishanaUtajuaje kama huyu mtu wa hovyo?
Nipe mbinu
ebu nishtue mimi najaribu kukutext inagoma atiiBora uje room maana hapa naogopa BAN kama sio kuitwa mchochezi.
Kama mie.Mkuu si kweli ulichoongea sema tu baadhi ya watu utakaokutana nao wapo na akili za vipii
Mm binafsi sijutii watu ambao najuana nao nje ya jf tunaheshimiana mnooo kikubwa kinachotakiwa ni umakini sana wa kujuana na watu nje ya jf
Anza na mimi.Nimi natafuta wa kufahamiana nae nitoe gundu
Maandishi yake na comments zake. Hicho ni kipimo cha kwanza wifi.Utajuaje kama huyu mtu wa hovyo?
Nipe mbinu
Siku mkimwagana ndio tutajua mengisawa. mimi sio kaka lakini
Na we hujutii eenhKama mie.
mzigua nataka tufahamiane...Anza na mimi.
Kuna wengine wastarabu kwenye comment wana id 5 ingine ya matusi ingine ya ustarabu namjua mmoja nataman hata nimuweke wazi watu wamuepukeee anatesaaa sanaKumjua moja kwa moja huwezi ila kwa comments zake waweza kubashiri ..mengine hujulikana mbeleni baada ya kupishana
Hata wenzako mwanzoni walikuwa na mtazamo kama wakoKama mie.
Vizuri sasa ungemweka waziKuna wengine wastarabu kwenye comment wana id 5 ingine ya matusi ingine ya ustarabu namjua mmoja nataman hata nimuweke wazi watu wamuepukeee anatesaaa sana
Nikwambie kitu kuna watu wana id 10 moja ya wemaaa zingine za ajabuMaandishi yake na comments zake. Hicho ni kipimo cha kwanza wifi.
Muumbue usifiche maovu ..huyo anawapa watu tabuKuna wengine wastarabu kwenye comment wana id 5 ingine ya matusi ingine ya ustarabu namjua mmoja nataman hata nimuweke wazi watu wamuepukeee anatesaaa sana
Kama sijatajwa hapa sijui?Vizuri sasa ungemweka wazi