Nilichojifunza kuhusu JF

Nilichojifunza kuhusu JF

Status
Not open for further replies.
Tatizo hatujaelewa kuwa watu tunaoishi nao mtaaani ndo hao hao wapo Jf tatizo tunajenga taswiraa tofauti tunawazaa vitu dhahania mtu anavyoandika comment kama kijana wa 24 kumbe muhenga wa 59 hivyo usibabaishwe na I'D.

Piah usimuamini kabisa mtu anayejificha nyuma ya keyboard.

Kama ulifanya kosa kufahamiana na watu wachache pangusaaa vumbi la takooo songa mbele anza maisha mapya kaa nao mbali.
Asante kwa kukazia
 
Sio ule uzi, ila ulimhusu huyo huyo wa sikio, alikuwa ana date na mdada wa humu ambaye alimjua ndani na nje, kumbe huyo mdada alikuwa wa fisadikuu....... mengine baadae naogopa BAN. ule uzi ulifutwa. hahahahahah

Ha haaaa haaaaaa Aiseee niliukosa huo!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom