Nilichojifunza kuhusu JF

Status
Not open for further replies.
Wewe niseme tu maana najutia kuonana na wewe....
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Niko kawaida best na pia Nina marafiki wa kutosha ..kupata mpenzi sio expectations kubwa kwangu

Expectations yangu kubwa ni kuona ujamaa wenye afya ya kustawi hata kama mtakosana
Sasa kuna watu wao wanatafuta watu wa kuwabandua/kubanduliwa, wanakuja kwa pupa mwisho wa siku wanajuta. Binafsi Jf Imenifunza mengi sana..
 
Kuna mtu napenda comments zake mpk nimeanza kumpenda. Anaonekana mpoleee...ila mmh!
Mmmh nini mama?? Au umefanikiwa kujua upande wake wa pili humu? [emoji23][emoji23][emoji23]. Basi kuna member pia anaandikaga vitu utasema mtoto mdogo ila upande wa pili ni bonge la mtu yani. Yani ni mtu mwenye sura mbili tofauti.

Sema kuna mmoja na mie anavyoandika nikisoma moyo unapiga ti ti ti kwa anavyonikosha. Naogopa nisije tokea kuzoeana nae halafu nikakuta sivyo ninavyomuona
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…