Ahsante shunie wangu mbona sie hatuchambaniMkuu si kweli ulichoongea sema tu baadhi ya watu utakaokutana nao wapo na akili za vipii
Mm binafsi sijutii watu ambao najuana nao nje ya jf tunaheshimiana mnooo kikubwa kinachotakiwa ni umakini sana wa kujuana na watu nje ya jf
We si hutaki tujuane...basi tuliza mshonoKwahiyo upo ambao unajuana nao zaidi ya kaka angu mshana
Hahahahaa. Jiamini tu bwana. Ukijiamini hata kama asipokuelewa ataendelea kukuheshimuHa haaa uchokoraa wenyewe anakuanzishia uzi wa kukuponda! Aku!
Kwa mtini jifunzeniDaah na mimi natafuta wa kujuana nae kumbe inawezekana !!
Za nchi ya Brazil au China?Ha haaaa sio huyo baba yake kwanza nilishamsahau! Hizi feelings nilizonazo kwa huyu mjamaa si za nchi hii..
Tulia dogo...mambo yakitiki nitakutambulisha kwa baba yako mkubwa mpyaaaaaNajua sio dingi niambie hata Mimi mwanao nimfukishie ujumbe
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nitafanya hivyo..Mm ninachokushauri kuwa mkweli mwambie tu
Hahahahahaaa.Nimeipenda mbinu yako unayoitumiaga
Hlf hajatokea kwenye huu uzi bado, namsubiri hapa hapaMzoeee unaniangusha ujue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mama take risk. Utajua chokoraa huko baadae sasa
Tuko watatu kweli. [emoji23]Mfyuuu msichokijua ni ninii wanaume wako wawili wanawake mko wa3 mnajijua
Naanza kuona feelings zetu zimegongana katika High standard levelHa haaaa sio huyo baba yake kwanza nilishamsahau! Hizi feelings nilizonazo kwa huyu mjamaa si za nchi hii..
Kitu JamaicaaZa nchi ya Brazil au China?
Na tunaanzaje kuchambana mama angu nyie wadada 3 mnanitosha mm sihitaji kujuana na mdada yeyote nje ya jfAhsante shunie wangu mbona sie hatuchambani
Kukutunuku nini?Mapenzi hufunika yote hayooo kama umenitunuku niambie
Duh....Shemeji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We si hutaki tujuane...basi tuliza mshono
Kwani we ni mhengaHayo mambo ya zamani.
Fresh naona unaweka mambo sawa kwa wasio amini.Shemeji yangu mm apa za wewe