Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Ipo siku we ngoja tuHapana mwenza ikizidi inabidi tu tuonyeshe kisa cha kufa na tai shingoni ni ninii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo siku we ngoja tuHapana mwenza ikizidi inabidi tu tuonyeshe kisa cha kufa na tai shingoni ni ninii
Mfyuuu msichokijua ni ninii wanaume wako wawili wanawake mko wa3 mnajijuaHatujijui bwana wee. Mimi kati ya watu nawaaminigi ni wanaume labda na ndo maana niko nao wengi nje ya humu. Wanawake mlikua wawili tu kaongezeka mmoja jana na unajua kwanini
Tulia wewe...! Unataka nikutajie ili ulete umbea huku?Nani anakujua
Sasa hilo swala ukimuuliza huyo utakua unamuoneleaNimekuelewa mkuu ila kwa nini hao warembi walijiingiza katika mambo yasiyo wahusu
NakaziaHapo ndo wanakosea. Tafuta mtu kama rafiki hayo ya kubanduana yaje baadae. Maana yakija baadae hata mkiachana mtabaki na urafiki uliowaunganisha kwanza. Mkitakana kwa ajili ya kubanduana mkishabanduana story inaishia hapo hasa ukute hamkukolezana vizuri
Mapenzi hufunika yote hayooo kama umenitunuku niambieMama take risk. Utajua chokoraa huko baadae sasa
Hapana mkuu sijafikia uwezo huo badoSio lazima wakutaje hapa inawezekana kwenye pm zao mambo yako ni motooo
Weweeee mi sio muoga. Namvutia kasi!Kumbe we ni mwoga kama dingi?
Yaani wewe sitaki kukujua ila natamni nione picha yako inatosha tyu...Unajua siri nyingi mnooo
Acha umbeaBwana ba mkwe nitakwambia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Umeonaeee maisha haya unatakiwa ujiachie kama ni Mimi anipm siwezi mtangaza hata kama mambo yatabuma
Haina noma mama mkweHahahhaha lakini unabaki nayo moyoni mtafute home boy
Wai sio huyo baba yako!Leo mamangu demi namwona kawa mpole sana
Akunong'oneze umfikishie ujumbe kwa mhusika
Mwambie dadangu shunie akusaidie kukufikishia ujumbeWeweeee mi sio muoga. Namvutia kasi!
We sema ngoja tu mwisho wa siku hata jf humuoniIpo siku we ngoja tu
Kwahiyo upo ambao unajuana nao zaidi ya kaka angu mshanaTulia wewe...! Unataka nikutajie ili ulete umbea huku?
Kaka una kauzi kako kanakimbilia 3k sasa kujibana kwa demi sijui unatafuta niniNgoja nijisogeze huenda ni mimi