Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mapenzi hufunika yote hayooo kama umenitunuku niambie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mapenzi hufunika yote hayooo kama umenitunuku niambie
Tumfuate pm tukale ubuyuUnajua siri nyingi mnooo
Embu acha umbea shogaanguNjoo pm uninong'oneze banaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha umbea
Kama ni Mimi sema suuuuTeh...you wish!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeonaeee maisha haya unatakiwa ujiachie kama ni Mimi anipm siwezi mtangaza hata kama mambo yatabuma
Dadake kutumia moyo ni zaidi ya kuwa na kidonda cha nje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] demi ukuje
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] usiseme hivyo buana..ngoja nianze kumzoea maana najua hata hana mawazo na mimi.We sema ngoja tu mwisho wa siku hata jf humuoni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wai sio huyo baba yako!
Em Fanya kumtag mama s....Sasa hilo swala ukimuuliza huyo utakua unamuonelea
Najua sio dingi niambie hata Mimi mwanao nimfukishie ujumbeWai sio huyo baba yako!
ShemejiMkuu si kweli ulichoongea sema tu baadhi ya watu utakaokutana nao wapo na akili za vipii
Mm binafsi sijutii watu ambao najuana nao nje ya jf tunaheshimiana mnooo kikubwa kinachotakiwa ni umakini sana wa kujuana na watu nje ya jf
Hayo mambo ya zamani.Acha tu mwenza..tumeambia wanawake haturuhusiwi kuonyesha mafeelings.
Mm ninachokushauri kuwa mkweli mwambie tuHa haaaa sio huyo baba yake kwanza nilishamsahau! Hizi feelings nilizonazo kwa huyu mjamaa si za nchi hii..
Naikumbuka.Duh..
Kama huikumbuki vilee
Mzoeee unaniangusha ujue[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] usiseme hivyo buana..ngoja nianze kumzoea maana najua hata hana mawazo na mimi.
Ohoooo ona watu jukwaani wancheka ila huko pm ni aibuuu mkuuHapana mkuu sijafikia uwezo huo bado
Umbea mwingine mtamu kama unaujua niambie tu. Hlf nimemtafuta sana mbiti simpati kwa simu!Embu acha umbea shogaangu
Shemeji yangu mm apa za weweShemeji