Afrika mfungwa hana haki!Duuu hatari Sana Mkuu,Mungu atuepushie hili[emoji33]
Kila mfungwa aliyeongea amesema amehukumiwa miaka 30 jela......huko Mwanza uhalifu wao siyo wa kitotoNimefatilia kwa karibu sana Ziara ile ya Mh Rais kule Butimba, Kiukweli nimepata kujifunza mengi ila makubwa ni yafuatayo:-
1. Kila mtu ni Mfungwa mtarajiwa, Kuna kubambikiwa kesi na kushurutishwa bila kufuata sheria, yaan inafika wakati anakwambia "Kama ulinisomesha utatoka gerezani ila kama ni mzazi wangu utarudi Uraiani Mpaka mkeo alishaolewa" wakati huo Polisi anakwambia..."Utafia gerezani mbwa wewe"
2. Polisi ni watu wanaongoza nchi hii kwa rushwa hasa wapelelezi, inafka wakati wanapiga kula uyu tumpe kesi gani, noti bandia, utakatishaji fedha, uhujumu uchumi au vyovyote ambavyo wataona unafaa kusota ili mradi mapenzi yao yatimizwe...
3. Wengi wa Watanzania walioko magerezani ni maskini wasio na mbele au Nyuma, wanyonge, wasioweza kujitetea..
Matajiri awafungwi, pengine sababu ya uwezo wao kifedha, nilisikia baadhi ya wafungwa wakimkumbusha rais kuwa Wezi na Mafisadi anao uko maofisini ila waliofungwa hapo Butimba ni wanyonge wasio na kitu..
4. Watanzania (wafungwa) walio wengi sasa wanadai haki zao kwa nguvu na kadiri iwezekanavyo, nimeona baadhi ya wafungwa wamefikisha kesi zao mpaka mahakama ya Afrika mashariki mpaka Mahakama ya Afrika na uko wengi wao kesi zao zimerudiwa na kupata Haki zao
5. Pamoja na JPM kuonekana kuwajali maafisa usalama (polisi,jeshi,uhamiaji na wengineo) Jeshi la Magereza limesahulikaa mno, ni watu ambao wako nyuma, wanafanya kazi katika mazingira ya Ovyo na ambyo sio rafiki. Kwa gereza kama la BUTIMBA wafungu na mahabusi ni 989 wana gari mbili tu! Moja kwa ajili ya kubebea kuni, jingine ni kwa matumizi ya kawaida. Nimeshutushwa mpaka na Mkuu wa Gereza hana Gari!! Fikria mtu anakaa kwenye gari na mbwa, kuni, mahabusu, mgonjwa, wafungwa....
6. Gerezani ni Sehemu ambayo mtu anaamua ufe lini, kwanini na wakati mwingine kwa ajili ya Usalama wa Askari Magereza anayehisi unaweza mharibia...
Naomba Kuwasilisha..
Acha kabsa wengine maisha KabsaaKila mfungwa aliyeongea amesema amehukumiwa miaka 30 jela......huko Mwanza uhalifu wao siyo wa kitoto
Kuna yule kiwete aliyehukumiwa kwa ubakaji.....Rais akamuuliza sasa wewe hii miguu miwili haifanyi kazi ila huo wa tatu ndio unaleta mabalaa?!!!
HhhhhhhhhhKila mfungwa aliyeongea amesema amehukumiwa miaka 30 jela......huko Mwanza uhalifu wao siyo wa kitoto
Kuna yule kiwete aliyehukumiwa kwa ubakaji.....Rais akamuuliza sasa wewe hii miguu miwili haifanyi kazi ila huo wa tatu ndio unaleta mabalaa?!!!
Yote yako OPEN ila namba 5 mkuu tunaoyajua acha tukae kimya mzee Hali nibaya Sana Kama umemsikiliza vizuri Yule Staff sergent akitoa malalamiko ya Askari ndio aliongea kila kitu...Nimefatilia kwa karibu sana Ziara ile ya Mh Rais kule Butimba, Kiukweli nimepata kujifunza mengi ila makubwa ni yafuatayo:-
1. Kila mtu ni Mfungwa mtarajiwa, Kuna kubambikiwa kesi na kushurutishwa bila kufuata sheria, yaan inafika wakati anakwambia "Kama ulinisomesha utatoka gerezani ila kama ni mzazi wangu utarudi Uraiani Mpaka mkeo alishaolewa" wakati huo Polisi anakwambia..."Utafia gerezani mbwa wewe"
2. Polisi ni watu wanaongoza nchi hii kwa rushwa hasa wapelelezi, inafka wakati wanapiga kula uyu tumpe kesi gani, noti bandia, utakatishaji fedha, uhujumu uchumi au vyovyote ambavyo wataona unafaa kusota ili mradi mapenzi yao yatimizwe...
3. Wengi wa Watanzania walioko magerezani ni maskini wasio na mbele au Nyuma, wanyonge, wasioweza kujitetea..
Matajiri awafungwi, pengine sababu ya uwezo wao kifedha, nilisikia baadhi ya wafungwa wakimkumbusha rais kuwa Wezi na Mafisadi anao uko maofisini ila waliofungwa hapo Butimba ni wanyonge wasio na kitu..
4. Watanzania (wafungwa) walio wengi sasa wanadai haki zao kwa nguvu na kadiri iwezekanavyo, nimeona baadhi ya wafungwa wamefikisha kesi zao mpaka mahakama ya Afrika mashariki mpaka Mahakama ya Afrika na uko wengi wao kesi zao zimerudiwa na kupata Haki zao
5. Pamoja na JPM kuonekana kuwajali maafisa usalama (polisi,jeshi,uhamiaji na wengineo) Jeshi la Magereza limesahulikaa mno, ni watu ambao wako nyuma, wanafanya kazi katika mazingira ya Ovyo na ambyo sio rafiki. Kwa gereza kama la BUTIMBA wafungu na mahabusi ni 989 wana gari mbili tu! Moja kwa ajili ya kubebea kuni, jingine ni kwa matumizi ya kawaida. Nimeshutushwa mpaka na Mkuu wa Gereza hana Gari!! Fikria mtu anakaa kwenye gari na mbwa, kuni, mahabusu, mgonjwa, wafungwa....
6. Gerezani ni Sehemu ambayo mtu anaamua ufe lini, kwanini na wakati mwingine kwa ajili ya Usalama wa Askari Magereza anayehisi unaweza mharibia...
Naomba Kuwasilisha..
KUMBUKA PIA TUMESIKIA UPANDE MMOJA TU. NA BAHATI MBAYA POLISI HAWANA JUKWAA LA KUJIBU HOJA.MTOA MADA NIKUULIZE SWALI KUHUSU KIPENGELE CHA PILI: KWA NINI POLISI WANABAMBIKIZA KESI?? KAMA N KWELI. NI KWA FAIDA GANI NA KWA NINI??
Mkuu binafsi nilifikiri ni mood za wafungwa, lkn nikamsikia mh rais akikazia kuwa jambo ili analifaham, isitoshe malalamiko haya yapo muda mwingi enzi na enzi...MTOA MADA NIKUULIZE SWALI KUHUSU KIPENGELE CHA PILI: KWA NINI POLISI WANABAMBIKIZA KESI?? KAMA N KWELI. NI KWA FAIDA GANI NA KWA NINI??
Hivi yule mzee macho anaona?yulee mzee aliefungwa miaka 40 kaona mengi nakupitia mengi.l
YawezekanaNaona wafungwa wote wanajitetea hawajafanya makosa! Sio kweli.
Kuna Polisi aliletwa pale wa upelelezi mkoa aliishia kujichanganya rais akaamua kumwambia basi inatoshaKUMBUKA PIA TUMESIKIA UPANDE MMOJA TU. NA BAHATI MBAYA POLISI HAWANA JUKWAA LA KUJIBU HOJA.
Uandishi wako mbovu sana, japo umeandika mambo ya msingi. Tanzania hii mfungwa anapoteza haki zote za kibinadamu.Nimefatilia kwa karibu sana Ziara ile ya Mh Rais kule Butimba, Kiukweli nimepata kujifunza mengi ila makubwa ni yafuatayo:-