Kuna mmoja file lake limepotea tangu 1979 hadi leo linatafutwa ili kesi iendelee, hapo hukumu bado.
Kama lile jamaa jeusi la unyang'anyi wa kutumia silaha linaonekana jambazi kabisa! eti nalo limesingiziwa!Hicho pia kilinishangaza.
NANI ANATOA RUSHWA?? MTUHUMIWA ANATOA AU POLISI ANATOA. MAANA HII NI ISHU YA WATU WAWILI YAANI POLISI KUBAMBIKA KESI, KWA FAIDA YA NANI,? APATE NINI? HAPA UTAKUTA POLISI ANAFANYA HAYA KWA NIA YA KUTETEA AMANI (MAANA HIYO NDO KAZI YAKE NA KUSIPOKUWA SHWARI NI SHIDA) AU UELEWA DUNI WA SHERIA. KAMA UFAFANUZI UTAHITAJIKA NITAELEZA.
Ccm inakuwasha sana etiMkuu ni bora uwe mfungwa wa selikali kuliko kuwa mtumwa wa ccm
Angalia watumwa wa ccm akina kabudi na msiba walivyo fyatu kicwani
Afrika mfungwa hana haki!
Rejea baadhi ya hotuba huko nyuma mfungwa akachape kazi pale sio sehemu ya starehe.
walime
Nasikitika Hakuna mtu aliyejibu hoja bali Ni Kulaumu uandishi wa herufi kubwa ambao kitaalamu unasomeka vizuri kuliko wa herufi ndogo. Pia Wengne wakaniita constable, na Majina Mengine. Kumbuka hoja huwa inajibiwa kwa hoja.Acha wenge ww ,nishashuhudia mtu anapewa kesi
Mkuu huwa hawapewi kabisa!! Nafikiri serikali inawachukulia Kama Watu wa chini Sana!! Ila kimsingi hawa Jamaa wapo wachache smart sana hasa vijana wanaonza kazi miaka ya hivi karibuni wanasoma sana sana!! Wengi wanapenda sana sheria, ugavi na uhasibu, na masuala ya afya hasa clinical medicine nasema haya kwa experience kabisa maana Wengi nawafahamu nimepata muda wa kuwa nao kwenye chuoni!! Wapo wachache wanapata mpaka nafasi za vyuoni kufundisha kama part time!!!Huyo askari kwa mtazamo wangu Yuko very smart.
Ninaamin atafuatiliwa na kuelewa madaraka/ uongozi/ nafasi ili akatende yale aliyoyasema ambayo kimsingi ni mazuri.
Akipata support anaonekana ni madini.
Hivi askari magereza huwa hawapewi uDC/ uRC na mavyeo mengine kama askari police na askari jeshi?
Mhalifu ni mtu wa kulalamika tu siku zote,wapo waliokili wakafungwa hiyo 30,walipoanza kutumikia vifungo vyao wakapata wanasheria wakaanza kukata rufaa,hawa watu si wakuwaamini asilimia mia moja
Mkuu binafsi nilifikiri ni mood za wafungwa, lkn nikamsikia mh rais akikazia kuwa jambo ili analifaham, isitoshe malalamiko haya yapo muda mwingi enzi na enzi...
Binafsi naamini sababu kubwa ni Rushwa, ukiombwa Rushwa ukaleta kelele bila hela yamekukuta....
Yule bwana aliekamatwa na Mafuta aliombwa milioni akakosa akapewa Kesi ya Mauaji...
Hatarii sanaaa
MmhKila mfungwa aliyeongea amesema amehukumiwa miaka 30 jela......huko Mwanza uhalifu wao siyo wa kitoto
Kuna yule kiwete aliyehukumiwa kwa ubakaji.....Rais akamuuliza sasa wewe hii miguu miwili haifanyi kazi ila huo wa tatu ndio unaleta mabalaa?!!!