Nilichojifunza kuhusu ziara ya rais Magufuli gerezani Butimba

Nilichojifunza kuhusu ziara ya rais Magufuli gerezani Butimba

Mkuu binafsi nilifikiri ni mood za wafungwa, lkn nikamsikia mh rais akikazia kuwa jambo ili analifaham, isitoshe malalamiko haya yapo muda mwingi enzi na enzi...

Binafsi naamini sababu kubwa ni Rushwa, ukiombwa Rushwa ukaleta kelele bila hela yamekukuta....

Yule bwana aliekamatwa na Mafuta aliombwa milioni akakosa akapewa Kesi ya Mauaji...
Hatarii sanaaa
NANI ANATOA RUSHWA?? MTUHUMIWA ANATOA AU POLISI ANATOA. MAANA HII NI ISHU YA WATU WAWILI YAANI POLISI KUBAMBIKA KESI, KWA FAIDA YA NANI,? APATE NINI? HAPA UTAKUTA POLISI ANAFANYA HAYA KWA NIA YA KUTETEA AMANI (MAANA HIYO NDO KAZI YAKE NA KUSIPOKUWA SHWARI NI SHIDA) AU UELEWA DUNI WA SHERIA. KAMA UFAFANUZI UTAHITAJIKA NITAELEZA.
 
Kuna kisa cha wafungwa waliooana baada ya kutoka gerezani kilioneshwa jana Azam News kilinisikitisha sana.

Kila mtu ni mfungwa/mahabusu mtarajiwa.

Imagine unamchukua bodaboda labda saa 2 usiku akupele mahali,anakufikisha salama then unamlipa unaendelea na ratiba zako.

Then kumbe baada ya hapo akapata abiria mwingine huko njiani usiku huo na akamuua bodaboda huyo halafu unakuja kukamatwa uliyemchukua kijiweni maana wenzie ndo walikuona wewe ndo ulimchukua mara ya mwisho.

Kesi inauguruma 6 years ukiwa mahabusu ndo ukweli unabainika hauhusiki WTF!

Justice delayed is Justice denied.
 
Endeleaa mkuu hapo kwenye mabano
 
mahali,anakufikisha
 
Pitia na post no 22
 
MTOA MADA NIKUULIZE SWALI KUHUSU KIPENGELE CHA PILI: KWA NINI POLISI WANABAMBIKIZA KESI?? KAMA N KWELI. NI KWA FAIDA GANI NA KWA NINI??
Hawana mbinu wala codes vya kufanya uchunguzi na kupata ukweli. Hivyo ili waonekane wamefanya kazi yao, wanambambikia yeyote aloyepo karibu nao kuwa ndie mhusika wa Khalifa fulani. Wakati mwingine ni kukomoana na pia njia ya kulazimisha rushwa.
 
Ukisikiliza makosa yao wengi ni kuwa wamebaka wengine wizi wa silaha. Yule Mzee amekaa jela 40 years alimuwa mke wake. Yule jamaa yake anasema yeye amepewa kesi ya kubaka. Albino yule amelawiti. Jamani kuna watu wanafanya makoso hayaelezeki hadharani. Watanzania mtu ukiwa na muda uende mahakamani kuona jinsi binadamu walivyo wanyama. Askari amejieleza vizuri sana.
 
Kuna kisa cha wafungwa waliooana baada ya kutoka gerezani kilioneshwa jana Azam News kilinisikitisha sana.

Kila mtu ni mfungwa/mahabusu mtarajiwa.

Imagine unamchukua bodaboda labda saa 2 usiku akupele mahali,anakufikisha salama then unamlipa unaendelea na ratiba zako.

Then kumbe baada ya hapo akapata abiria mwingine huko njiani usiku huo na akamuua bodaboda huyo halafu unakuja kukamatwa uliyemchukua kijiweni maana wenzie ndo walikuona wewe ndo ulimchukua mara ya mwisho.

Kesi inauguruma 6 years ukiwa mahabusu ndo ukweli unabainika hauhusiki WTF!

Justice delayed is Justice denied.
Mpaka mwili umesisimka!!!
 
Nimefatilia kwa karibu sana Ziara ile ya Mh Rais kule Butimba, Kiukweli nimepata kujifunza mengi ila makubwa ni yafuatayo:-

1. Kila mtu ni Mfungwa mtarajiwa, Kuna kubambikiwa kesi na kushurutishwa bila kufuata sheria, yaan inafika wakati anakwambia "Kama ulinisomesha utatoka gerezani ila kama ni mzazi wangu utarudi Uraiani Mpaka mkeo alishaolewa" wakati huo Polisi anakwambia..."Utafia gerezani mbwa wewe"

2. Polisi ni watu wanaongoza nchi hii kwa rushwa hasa wapelelezi, inafka wakati wanapiga kula uyu tumpe kesi gani, noti bandia, utakatishaji fedha, uhujumu uchumi au vyovyote ambavyo wataona unafaa kusota ili mradi mapenzi yao yatimizwe...

3. Wengi wa Watanzania walioko magerezani ni maskini wasio na mbele au Nyuma, wanyonge, wasioweza kujitetea..
Matajiri awafungwi, pengine sababu ya uwezo wao kifedha, nilisikia baadhi ya wafungwa wakimkumbusha rais kuwa Wezi na Mafisadi anao uko maofisini ila waliofungwa hapo Butimba ni wanyonge wasio na kitu..

4. Watanzania (wafungwa) walio wengi sasa wanadai haki zao kwa nguvu na kadiri iwezekanavyo, nimeona baadhi ya wafungwa wamefikisha kesi zao mpaka mahakama ya Afrika mashariki mpaka Mahakama ya Afrika na uko wengi wao kesi zao zimerudiwa na kupata Haki zao

5. Pamoja na JPM kuonekana kuwajali maafisa usalama (polisi,jeshi,uhamiaji na wengineo) Jeshi la Magereza limesahulikaa mno, ni watu ambao wako nyuma, wanafanya kazi katika mazingira ya Ovyo na ambyo sio rafiki. Kwa gereza kama la BUTIMBA wafungu na mahabusi ni 989 wana gari mbili tu! Moja kwa ajili ya kubebea kuni, jingine ni kwa matumizi ya kawaida. Nimeshutushwa mpaka na Mkuu wa Gereza hana Gari!! Fikria mtu anakaa kwenye gari na mbwa, kuni, mahabusu, mgonjwa, wafungwa....

6. Gerezani ni Sehemu ambayo mtu anaamua ufe lini, kwanini na wakati mwingine kwa ajili ya Usalama wa Askari Magereza anayehisi unaweza mharibia...

Naomba Kuwasilisha..

Butimba wafungwa na mahabusu ni karibu wanafikia 2000.

Muhimu nini cha kufanya kwenda mbele

1. Polisi, Magereza, Watu wa mahakama walipwe vizuri ili washishawike na Rushwa.

2. Takururu iwachunguze Polisi, Maofisa wa Mahakama, na Magereza. Wakipatikana na hatia wafungwe.

3. Serikali iwe na kitengo maalum cha wanasheria wake kuwasaidia maskini, wasio na elimu, yatima, wajane, watoto, disabled, kupata haki. Kupata haki mapema.

4. Hakuna haja ya kuwaweka mahabusu watu kwa muda mrefu kwa makosa madogo, kwa yale makubwa Wapelelezi inabidi walete ushahidi katika wakati fulani otherwise waachie kwa dhamana.

5. Vifungo vyetu ni vikubwa sana. Tuliangalie hilo. Kuwe na incentive mfungwa akisoma, asipofanya tatizo lolote kwa muda mrefu, akifanya kazi kwa bidii wapunguziwe sentence.( Kifungo)

6. Kwa makosa madogo chini ya 6 months watu wapewe community service (kazi kwenye jamii , nje ya magereza) mfano usafi, kilimo, kutumia taaluma zao kuwasaidia walemavu, yatima, wajane chini ya uangalizi.

7. Wafungwa wakifanya kazi walipwe kidogo ili wakitoka wawe na pakuanzia.

8. Walemavu, Wenye magonjwa ya akili, waangaliwe labda kwenye special unit with specialists.

9. Kazi ni muhimu, ila sio kazi ngumu sana za kuwaua, labda special cases. Ila ukianzia hapo huwezi kuishia hapo.

10. Kazi ya gereza ni kutoa adhabu, kurekebisha. Pia tuangalie gharama.

Wengine wanaweza kuwa wamesingiziwa, sana sana kuhusu mashamba, nyumba, vyeo, pesa.

Great care should be taken when dilling with admistration of justice.
 
NANI ANATOA RUSHWA?? MTUHUMIWA ANATOA AU POLISI ANATOA. MAANA HII NI ISHU YA WATU WAWILI YAANI POLISI KUBAMBIKA KESI, KWA FAIDA YA NANI,? APATE NINI? HAPA UTAKUTA POLISI ANAFANYA HAYA KWA NIA YA KUTETEA AMANI (MAANA HIYO NDO KAZI YAKE NA KUSIPOKUWA SHWARI NI SHIDA) AU UELEWA DUNI WA SHERIA. KAMA UFAFANUZI UTAHITAJIKA NITAELEZA.
Huna unachotetea police wewe !! Amani ndiyo ubambikie watu kesi ?!. Bora kutokuwa na amani lakini kila moja ana haki yake
 
NANI ANATOA RUSHWA?? MTUHUMIWA ANATOA AU POLISI ANATOA. MAANA HII NI ISHU YA WATU WAWILI YAANI POLISI KUBAMBIKA KESI, KWA FAIDA YA NANI,? APATE NINI? HAPA UTAKUTA POLISI ANAFANYA HAYA KWA NIA YA KUTETEA AMANI (MAANA HIYO NDO KAZI YAKE NA KUSIPOKUWA SHWARI NI SHIDA) AU UELEWA DUNI WA SHERIA. KAMA UFAFANUZI UTAHITAJIKA NITAELEZA.

Eleza ueleweka..alafu ikiwezekana andika.kwa herufi ndg
 
Umbumbumbu wa sheria sababu kubwa ya wengi kusota Magereza bila hatia. Elimu muhimu

Wengi pale kesi za wizi, biashara ya madawa ya kulevya/bangi

Inasemwa kwamba Askari Magereza wa hapa bongo ni katika watu ambao ogopa sana kukutana nae katika adhabu, wana adhabu za kikatili sana. Bora akupe adhabu Polisi au Mjeda ila sio Askari jela
 
Ni muhimu serikali iwaruhusu wake, patners kuwatembelea wenza wao.

Kuwapiga mateke hakuna haja, sio muhimu.

Ila kuwasadia wanyooke, wafate sheria, ni jukumu la serikali, polisi,mahakama, magereza.

Kuhusu kazi , uzalishaji wa chakula, magereza kujikimu, tuwe na miundombinu ya magereza na mifumo mipya. Hapo Butimba wanazalisha vitu ila pesa hairudishwi kutoka serikalini.

Samaki, matofali, mashamba, kokoto, mahindi na mengine ni vitu wanafavyofanya magereza.
 
Unatarajia mtumishi anayefanya kazi kwa dhiki na kupoteza matumaini akose kiburi? Hivi ni kweli ukiona wenzako wanafaidi katika kazi zao utashindwa kuwaonea wivu? Au hawajawahi kupata msoto?
 
Back
Top Bottom