Nilichojifunza kuhusu ziara ya rais Magufuli gerezani Butimba

Alafu jamaa wa magereza pamoja na kua na maisha ya hovyo wanatetea serikali isiyowajali kabisa.....
 
😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎nani anakumbuka hii
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli amesema kuwa wafungwa wanapaswa kufanyishwa kazi usiku na mchana na kwamba wafungwa wazembe wanafaa 'kupigwa mateke'.

Magufuli alikuwa akizungumza katika uzinduzi wa afisa mkuu mpya wa Magereza nchini humo .

Amesema kuwa ilikuwa aibu kwa Tanzania kuendelea kuwaachilia huru wafungwa na kwamba watu hao wanapaswa kulima chakula chao katika shamba.

Anasema kuwa kutofanyishwa kazi kwa wafungwa kumesababisha kuwepo kwa wapenzi wa jinsia moja na matumizi ya mihadarati
 
Mhalifu ni mtu wa kulalamika tu siku zote,wapo waliokili wakafungwa hiyo 30,walipoanza kutumikia vifungo vyao wakapata wanasheria wakaanza kukata rufaa,hawa watu si wakuwaamini asilimia mia moja
 
Acha wenge ww ,nishashuhudia mtu anapewa kesi
 
Acha wenge ww ,nishashuhudia mtu anapewa kesi
Nasikitika Hakuna mtu aliyejibu hoja bali Ni Kulaumu uandishi wa herufi kubwa ambao kitaalamu unasomeka vizuri kuliko wa herufi ndogo. Pia Wengne wakaniita constable, na Majina Mengine. Kumbuka hoja huwa inajibiwa kwa hoja.
 
Mkuu huwa hawapewi kabisa!! Nafikiri serikali inawachukulia Kama Watu wa chini Sana!! Ila kimsingi hawa Jamaa wapo wachache smart sana hasa vijana wanaonza kazi miaka ya hivi karibuni wanasoma sana sana!! Wengi wanapenda sana sheria, ugavi na uhasibu, na masuala ya afya hasa clinical medicine nasema haya kwa experience kabisa maana Wengi nawafahamu nimepata muda wa kuwa nao kwenye chuoni!! Wapo wachache wanapata mpaka nafasi za vyuoni kufundisha kama part time!!!
 
Rais mwenyewe kashangaa mlo wao wa siku maana alitegemea labda gunia mbili

Halafu utafikiri hiyo jela inabeba miaka 30 tu maana kila aliemo humo ni mvua 30 tu
 
Mhalifu ni mtu wa kulalamika tu siku zote,wapo waliokili wakafungwa hiyo 30,walipoanza kutumikia vifungo vyao wakapata wanasheria wakaanza kukata rufaa,hawa watu si wakuwaamini asilimia mia moja


Wapo wengi, sio wote.
 


Ndio hivyo rough justice. Angekuwa na millioni moja angekuwa huru. Angekuwa tajiri angelipa pesa inayotakiwa.

Ila hakuweza kulipa laki nane akapewa kesi ya mauaji.

Kamuua nani ? wapi? Polisi hawana hata details kwenye chargesheet.

Kuna kesi hapo?

Tunakushukuru Rais kutuonyesha haya. Mikutano yako, kukutana na watu, mikutano, imetufungufua macho.

Hizi ziara zako, kuwahoji watu, kuwa mkali kutembea, zinatusaidia kujua hali halisi ya nchi.

Wanakuita mshamba, limbukeni, ila endelea kufanya hivyo hivyo. Endelea kuwa mshamba, limbukeni.

Pambana. Shikilia hapo hapo. Tofauti ni utendaji wako. Matusi hayakomi.
 
Kila mfungwa aliyeongea amesema amehukumiwa miaka 30 jela......huko Mwanza uhalifu wao siyo wa kitoto

Kuna yule kiwete aliyehukumiwa kwa ubakaji.....Rais akamuuliza sasa wewe hii miguu miwili haifanyi kazi ila huo wa tatu ndio unaleta mabalaa?!!!
Mmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…