Distance from Dar to Shy ni km 987.6 ,ukizigawa kilometa hizo kwa speed ya 80 kph utapata masaa 12 ya safari kutoka Dar to Shy kwa hiyo yupo sahihi kabisa

Na sio kwamba nilitembea 80 tu Kuna sehemu njia ilikuwa Ina ruhusu nilikuwa navuka hadi mshale unavuka...Kuna Muda barabarani unajikuta unaendesha peke yako... kwanini usitambe 🤣🤣🤣