kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
Kumbe waamuzi wetu wengi ni wapuliza filimbi sio waamuzi. Waamuzi wetu wanapuliza filimbi nyingi sana kuliko inavyosrahili.
Waamuzi wa Misri wametuonyesha kuwa mpira wa miguu ni mchezo wa kutumia nguvu, hivyo sio Kila msukumano wa wachezaji unahitaji filimbi.
Filimbi nyingi zinazalisha timu na ligi nyoronyoro mbele ya timu na ligi nyingine Africa. Timu zetu zinapokutana na timu nyingine zilizozoea filimbi chache zinahisi kuwa zinaonewa na waamuzi.
Waamuzi wa Misri wanafanya mazoezi magumu sana ya mwili kuliko waamuzi wetu. Waamuzi wao wapo kwenye Kila tukio uwanjani. Wanapiga filimbi kwa kumaanisha na uhakika wa tukio.
Ukweli nimejifunza mengi na bilashaka tumefunza wote.