Majibu kama haya Yako ni ushahidi kuwa elimu yetu Ina mapungufu fulani. Kila unaeona ana afadhali ujue amepata continuing education kutoka labda jeshini, semina, uzoefu wa kazi au kutembelea nchi nyingine.Unakaza fuvu na mambo ya Tanzania mzee.
Kila kitu sisi ni hovyo hakuna Idara wala sekta hata moja tunayoweza kujivunia.
Tumejaa ubabaishaji urasimu, umangimeza na Chenga, ubabaishaji mwingi Nk.
Hiyo sio sababu kwenye uongozi/ligi imara hata kama Azam anadhamini timu zote na bado yeye ana timu uongozi ukiwa imara haiwezi kua sababuLigi yetu bado ni mbovu sana + ubovu wa marefa unaiharibu kabisa + mtu mmoja kudhamini timu nyingi sio sawa.