ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Haha nchi ni ya kwako lakini wewe upo kwenye mwanga yenyewe ipo gizaniSawa mwaya, mie siwezi kukunyima buana!!
Mkuu unanichora nini?Umekumbuka nini?
The good newz is...I found the album.
Kwakweli nitakuwa mbeya tu nikiliongelea. Mods walishaondoa kila kitu hapa jukwaani ikiwa ni dalili kuwa maongezi ya aina ile hayatakiwi.Sikuona ,ilikuwaje ISO kumbe huwa napitwa vitu vingi
Mipango bimafsi ukiiweka huku you are subjecting yourself to public scrutiny.Kwani yule dada siyo mzuri?
Picha zake zilizorushwa design kama zilikuwa na editing.
Ila ni mzuri na anaishi uhalisia.
Hayo ya kupeana BMW ni maisha yao binafsi.
Mie nimeenda na flow za mtoa mada.Mipango bimafsi ukiiweka huku you are subjecting yourself to public scrutiny.
Mimi sifuatiliagi watu kwahiyo sifahamu alikuwa anaishi maisha gani, lakini reaction ya members kipindi kile ilikuwa tofauti sana. It was as if they were disappointed. As if they/she was not what they portrayed themselves/herself to be.
Na huwezi kulaumu, inatokea unapoamua kuyaweka maisha yako binafsi humu jukwaani.
Na sijaongelea uzuri. Not even for a bit. Uzuri ni very subjective ila pia sitaki kupitisha watu kwenye chujio ambalo nikipitishwa mimi nafeli.
Na kwa nini mjengeane taswira zilizo nje ya uhalisia? Naamini hakuna utofauti wowote coz hakuna binadamu exceptional.I even you....
Ukiamua kuweka maisha yako humu basi you should be keen enough to accept the quncequence.
Humu kwa sababu ya avatar na miandiko tunachukuliana watu fulani wa tofauti(sio wote) siku na siku kumbe kawaida tu.
hakuna kitu kibaya sipendi kama dispoint.. labda mtu alijua Daby ni mtu fulani na akamjengea taswira siku ya siku naharibu anakuja kugundua kumbe mshkaji ndiyo huyu.
gumu kujibu ila,Na kwa nini mjengeane taswira zilizo nje ya uhalisia? Naamini hakuna utofauti wowote coz hakuna binadamu exceptional.
Hapana sijawahi, nimeanza vidate vya online 2007 ila sikuwahi kuweka matarajio kabla ya kuonana.
Niko tofauti na wewe kidogo. Humu JF kisaikolojia wadada wako vizuri kuliko facebook na kwingineko.Usemayo mkuu ni kweli kabisa wengi wao karibu wote wanaishi maisha ya maigizo na pia wako frustrated sana..........sijui shida nini
Mtihani huo sasa..& the problem I'm not good in guessing.. That's why that Tatu mzuka thing siwezi hata jaribu icheza as ntaangukia tu puaKisia, ukipatia nakupa one night stand,
Yaani unganisha dots za nyuzi+comments zangu
[emoji38][emoji38][emoji38] jf ni 2nd worldJamii forum ni dunia nyingine kabisa ambayo uki log in unaishi kwenye mansion na unaendesha Bentley.
Uki log off unarudi kwenye chumba chako Kwamtogole kusubiri foleni ya chooni
Don't spoil the fun
Hata mi kama nimesoma na mtu wa jina hilo ivi,wakina Msowoya....wa Njombe hawakatika hiyo avatar wewe uko wapi??afu we kama classmate wangu...???