Nilichojifunza kwa wadada wa JF

Nilichojifunza kwa wadada wa JF

Nimekumbuka stori ya cheupe wa bold....

Lakini haya masuala yanakuja baada ya watu kuacha kufocus kwenye mada za JF na kuanza kufocus kwenye members wa JF.

Yani mnampenda member fulani mpaka anaform mini cult huku JF ambako mnakuwa followers wake. Ikitokea hiyo hali lazima mu-actiwe tu.
 
Kwani yule dada siyo mzuri?
Picha zake zilizorushwa design kama zilikuwa na editing.

Ila ni mzuri na anaishi uhalisia.
Hayo ya kupeana BMW ni maisha yao binafsi.
Mipango bimafsi ukiiweka huku you are subjecting yourself to public scrutiny.

Mimi sifuatiliagi watu kwahiyo sifahamu alikuwa anaishi maisha gani, lakini reaction ya members kipindi kile ilikuwa tofauti sana. It was as if they were disappointed. As if they/she was not what they portrayed themselves/herself to be.

Na huwezi kulaumu, inatokea unapoamua kuyaweka maisha yako binafsi humu jukwaani.

Na sijaongelea uzuri. Not even for a bit. Uzuri ni very subjective ila pia sitaki kupitisha watu kwenye chujio ambalo nikipitishwa mimi nafeli.
 
Mie nimeenda na flow za mtoa mada.
Anyway kama haufuatilii sijui umejuaje habari zao kwa kweli.
 
I even you....

Ukiamua kuweka maisha yako humu basi you should be keen enough to accept the quncequence.

Humu kwa sababu ya avatar na miandiko tunachukuliana watu fulani wa tofauti(sio wote) siku na siku kumbe kawaida tu.

hakuna kitu kibaya sipendi kama dispoint.. labda mtu alijua Daby ni mtu fulani na akamjengea taswira siku ya siku naharibu anakuja kugundua kumbe mshkaji ndiyo huyu.
Na kwa nini mjengeane taswira zilizo nje ya uhalisia? Naamini hakuna utofauti wowote coz hakuna binadamu exceptional.
 
Na kwa nini mjengeane taswira zilizo nje ya uhalisia? Naamini hakuna utofauti wowote coz hakuna binadamu exceptional.
gumu kujibu ila,
Sometimes unajengewa taswira kwa comments zako na misimamo yako.

huo utofauti unaweza kujengwa kabla hatujakutana.
 
JF raha sanaaaa (in ringo voice) [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yanii ni mwendo wa Fake ID, Fake Avatar, Fake profile, Fake comment [emoji23] [emoji23] [emoji125] maisha yanakwenda kwa kasi mnoo
 
Hapana sijawahi, nimeanza vidate vya online 2007 ila sikuwahi kuweka matarajio kabla ya kuonana.

Mimi huwa nafocus na ninachokiona jukwaani bila kujali You're real or not...aidha iwe tumeamua kukutana.

La disapointment nilijaribu kudeal nalo nakaribia kuliweza.

Good to you.
 
Usemayo mkuu ni kweli kabisa wengi wao karibu wote wanaishi maisha ya maigizo na pia wako frustrated sana..........sijui shida nini
Niko tofauti na wewe kidogo. Humu JF kisaikolojia wadada wako vizuri kuliko facebook na kwingineko.
Fuatilia uwezo wao wa kujibu na kujenga hoja. Ila ukiwakurupukia utaona wote vichwa vya wendawazimu
 
Kisia, ukipatia nakupa one night stand,

Yaani unganisha dots za nyuzi+comments zangu
Mtihani huo sasa..& the problem I'm not good in guessing.. That's why that Tatu mzuka thing siwezi hata jaribu icheza as ntaangukia tu pua
But possibly the one in red holding the handbag as the other ones wako kama wamekaribishwa tu kwa hiyo picha
 
acha waigize sasa unataka waje na majij ahalisi humu...humu kila kitu fake tnafake hadi personality....waache wajidai aisee
 
Wakati wanawake wa ulaya wanatengeneza hope,dignity,respect and trust....wanwake weusi wanajaribu kuvaa vichupi wakijua ndo ujanja,kupaka lip shine hadi wanakosa sura,kujichubua wakidhani wanaume wanapenda weupe,kuvaa nywele za marehemu wahindi ,kuishi maisha fake and etc,ukitaka kujua ushamba wa wanawake waki Africa nenda vyuo vikuu 90% yapo makopo siyo wanawake
 
Back
Top Bottom