Nilichojifunza kwa wadada wa JF

We hujawahi hata kuwa nao pm au kwe magrup ya whatsapp jaribu utaniambia wengi wanateswa na ndoa saana wengine ikiwemo kuachwa n.k
Hayo ni personal sana. Hayamwondolei mtu uwezo wa kufikiria.
Nimewahi kuchat nao kadhaa pm. Ingawa huwa sipendi kuingilia uhuru wa mtu kumwomba kuchat huko na sasa pm yangu imejaa vumbi.

Nawatathmini kwa michango yao hapa jukwaani na siyo huko unakosema. Pia mada ilihusu hawa wa JF,huko kwenye magroup ya whatsapp, fb na insta sina uzoefu nako. Mingine situmii kabisaa
 
Yale yale mkuu unatakiwa uwazoee tu hawa kina dada wa JF
Nimekuelewa Mkuu siku Zote somo likieleweka huwa ni faraja kwa Mwalimu...
" Discipline is doing what needs to be done, even if you don't want to do it"

"Nidhamu ni kufanya kile kinachopaswa kufanyika hata kama hutaki kukifanya"
 
1. Ni kitu gani hasa kilipelekea ufatilie suala hilo?
2. Kwanini ulifatilia wadada tu?
3. Kwaninni unadhani wafate ushauri wako? (wasipobadilika nini kitatokea lini?)
4. This JF
 
Mfano tu ebu ona Mada iliyoanzishwa na huyu Member anayejiita Curious gal ati anatoa offer ya Valentine ila vigezo alivyovisema mojawapo nikuwa watachangia 50% 50% ambayo ni 11.2 Mill.... is this girl serious?????? Na wapo wengi sana
What ever the case!
Inakuhusu nini hiyo?
Usipoiwazia ina madhara?
 
Hahaaa. Kila siku zinavyozidi kusonga mbele najikuta naipenda jf kuliko.
Wee unafake nini best, teh!

Mmeambiwa muondoe hizo avatar tamanishi, hahaaaa duuh!!
 
Hahaaaa huu uzi leo ni kucheka tu kama ule wa PM, duuh!!
Hahaaa. Wacha kabisa yaani.

Ila jf sio siri inanipa raha sana sababu sio wanaume sio wanawake tulio wengi tuna mawazo kwamba tunaoishi hii dunia ya jf basi wote tuko kipekee katika mionekano yetu kumbe sivyo.

Hivyo cheka tu best sababu maisha yenyewe ndio haya haya.
 
Yaani niko page ya 10 tu nishacheka sana best, ngoja nipumzike kidogo, khaaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…