Lucky Star
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 1,874
- 3,215
Hayo ni personal sana. Hayamwondolei mtu uwezo wa kufikiria.We hujawahi hata kuwa nao pm au kwe magrup ya whatsapp jaribu utaniambia wengi wanateswa na ndoa saana wengine ikiwemo kuachwa n.k
Nimewahi kuchat nao kadhaa pm. Ingawa huwa sipendi kuingilia uhuru wa mtu kumwomba kuchat huko na sasa pm yangu imejaa vumbi.
Nawatathmini kwa michango yao hapa jukwaani na siyo huko unakosema. Pia mada ilihusu hawa wa JF,huko kwenye magroup ya whatsapp, fb na insta sina uzoefu nako. Mingine situmii kabisaa