Nilichojifunza kwa wadada wa JF

Jamii forum ni dunia nyingine kabisa ambayo uki log in unaishi kwenye mansion na unaendesha Bentley.

Uki log off unarudi kwenye chumba chako Kwamtogole kusubiri foleni ya chooni

Don't spoil the fun
hahaaaa basiii sichangii chochote tena maana umemaliza kila kitu ..sioni chakuongezea
 
hahaaaa daahh aiseee ..
 
Wanaume hivi mmezaliwa na makopo au mmetoka kwenye sehemu zetu za sirii shenziii zunuuuu
Eti sehemu zenu? Zenu au zetu?
Zinakuwaje za siri kama kila mwanamke zipo hivo na zinafahamika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…