Nilichojifunza kwa wadada wa JF

Bora wawe fake kwa kila kitu Ili wajiamini kutoa michango yao katika Mada tata na hasa zile za kumuhusu Dereva mwendawazimu na kundi lake la vichaaa

Siwatetei ila ni mtizamo wangu msinitukane plz!
 
Ila hawataki sisi tufake uzuri etii
hlo ndo tatzo,,, tunatakiwa tuelewe kuwa asilimia kubwa ya watu wanaotumia hz social networks hasa wakilog in wanaishi maisha mazuri sana, drama nyingi maisha ya furaha ila wakilog out wako na sad story kwenye maisha yao,,so unatakiwa usimjudge mtu kupitia post au avatar,, kla mtu anamaisha yake baada ya hz social networks,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…