Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
UnampotoshaWe mchukue bhana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UnampotoshaWe mchukue bhana
Na nini tena jiraniUnampotosha
Duuuh![]()
Huyu Anaitwa Paulo mwalimu wa CBE
Dodoma ndo aliyeleta mada ya Mr smart hapa jukwaani na pia ni tapeli tapeli ana tabia ya kutembea na Watoto wazuri wa cbe
Aiseee
Labda mie ndo nimeadimika...
Mwenyewe shkamo!!! Itabidi nikufuatilie kwa ukaribu sasa
![]()
Huyu Anaitwa Paulo mwalimu wa CBE
Dodoma ndo aliyeleta mada ya Mr smart hapa jukwaani na pia ni tapeli tapeli ana tabia ya kutembea na Watoto wazuri wa cbe
Are u an alcoholic?![]()
Team fake.
Duh![]()
Huyu Anaitwa Paulo mwalimu wa CBE
Dodoma ndo aliyeleta mada ya Mr smart hapa jukwaani na pia ni tapeli tapeli ana tabia ya kutembea na Watoto wazuri wa cbe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] raha ya jf ndio hii rafiki. Teh teh teh
Wanyumbani mwandie tu kama ana hela niko tayari. Mapenzi ya ujanja janja siyataki tena bora kama hana mapenz nipate pesa tu.
Itakua.Are u an alcoholic?
Kuna watu wamenikera leo ngoja nimalizie hiki nilale!Itakua.
Hahaaa best kumbe nawe muoga eeh, hebu nipaishe kwa mtoto best, ongeeni hata cha nyumbani mtoto aelewe somo, teh!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] raha ya jf ndio hii rafiki. Teh teh teh
Unataka ninyima nini mie mpaka unisalimieHahahahaha lol! Kunizoom tena na ile darubini yako kali sasa basi? Nakuamkia Sakayo hupendi kuamkiwa weye?
Raha iko wapi mtu kudhalilishwa?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] raha ya jf ndio hii rafiki. Teh teh teh