Nilichojifunza kwenye kumtafuta mke JF

Nilichojifunza kwenye kumtafuta mke JF

Kwani ukitafuta mchumba mke ni lazima useme una mali au huna?! Angalia mfano hapo chini:
Umri:39
Kazi:Banker/Nimejiajiri
Elimu😀iploma,Degree,Masters,PhD
Makazi:Mwanza

Huna haja ya kuandika kiwango cha mshahara wako au mali ulizonazo, mwanamke akiongea na wewe tu atajua huyu ni mtu wa aina gani, anavutiwa na wewe au la!
hao ambao wameona maghorofa live hawajampenda sisi wakuandikiwa ndo tushoboke jamani
Hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa safiiiiiiiiiii waaambie hao mbona uko kitaaa hajapigwa mpaka aje kujitangaza hapa hahahaaaaaaaaaaaaaaaa uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii wapewape hao bestito
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] umetisha mkuu.
nipe ajira ya kukutafutia mke mwema
 
Hakuna lolote hapo..... Huna chochote.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Warevaaaaaa
 
njia nzuri sana uliyotumia,kweli utampata tu vuta subira.ila tambua si wanawake wote wanapenda Mali...utu ndo kipaumbele.Maisha ya dunian si yetu ivo usijeabudu Mali na kutumia kumtamanishia mtu ukamsahau Mungu.Tujifunze kwa maharusi Wa Kenya waliooana kwa jiti(mia).Mungu akuongoze kaka.
 
Baada ya kutoa siri nje siwezi kupokea ombi lingine tena na wanajua hawawezi pm tena maana tulishindwana kwa hali nliyowaambia ninayo na ninavyoishi. Hata mtu aki pm sijibu imetoka hiyo
Aaaa acha hizo mkuu, mi bandiko sikuliona bwana ndio nimejua leo! ngoja nije huko pm[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Mtu mwenye akili ukiongea nae tu pm hata kabla hamjaonana anjua wewe ni mtu wa aina gani. Anaona kwa mtu kama huyu hata hayo magorofa yatakuwa hayana maana!
 
Kama una PhD na mali huna bora ukae kimya tu ujitombe mwnyw
Mnanivunja mbavu zanguu jamani..[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji23]


Ukiwa na PHD halafu huna hela unaonekana kama kichaa hivi..
 
Hahaha...humu watu bwana wanajua kushambilia mpaka nasema hiv kuna maden humu au wanaelimishana?
 
Mkuu ungekausha tu na matokeo ya utafiti wako. Kuanza kujieleza mambo yako kwa style ya kutangaza mali zako imekaa kisifa sifa flani. It's not a smart move. Inaoneka unajisikilizia sana mali zako ndio maana hao wadada unaokutana huko mitaani una wachosha na misifa. Au ndio mfa maji au sizitaki mbichi hizi baada kutoswa na wanawake wa JF? Wapo wanawake wanaowakataa matajiri wakaenda kuolewa na mtu wa kawaida kiuchumi.
 
Back
Top Bottom