Nilichojifunza kwenye kumtafuta mke JF

Nilichojifunza kwenye kumtafuta mke JF

mie huwa simwambii mwanamke kama Nina Nazi nzuri Bali najiweka maisha duni ili nijue kweli nimependwa au blah blah

Mnawafundisha wanawake sasa kuelewa opposite na utakavyojielezea. Ukisema unapesa wanajua kanjanja huyu, ila ukisema masikini wataanza kuja speed hadi utaogopa. Jaribu uone kuanzia leo.
 
Mkomage! Mkipata wasichana wakweli mnawakataa kwasababu hawana mvuto mnaohitaji.
 
Kwani ukitafuta mchumba mke ni lazima useme una mali au huna?! Angalia mfano hapo chini:
Umri:39
Kazi:Banker/Nimejiajiri
Elimu😀iploma,Degree,Masters,PhD
Makazi:Mwanza

Huna haja ya kuandika kiwango cha mshahara wako au mali ulizonazo, mwanamke akiongea na wewe tu atajua huyu ni mtu wa aina gani, anavutiwa na wewe au la!
Afadhali umempa muongozo!
 
Mkuu ungekausha tu na matokeo ya utafiti wako. Kuanza kujieleza mambo yako kwa style ya kutangaza mali zako imekaa kisifa sifa flani. It's not a smart move. Inaoneka unajisikilizia sana mali zako ndio maana hao wadada unaokutana huko mitaani una wachosha na misifa. Au ndio mfa maji au sizitaki mbichi hizi baada kutoswa na wanawake wa JF? Wapo wanawake wanaowakataa matajiri wakaenda kuolewa na mtu wa kawaida kiuchumi.
Yaani huyu ndo wale akikununulia kiatu atakusimanga nacho mpaka kichakae.
 
Mnawafundisha wanawake sasa kuelewa opposite na utakavyojielezea. Ukisema unapesa wanajua kanjanja huyu, ila ukisema masikini wataanza kuja speed hadi utaogopa. Jaribu uone kuanzia leo.
Mwanaume ukikutana nae tu... Kuanzia kola ya shati hadi viatu, utajua tu yukoje kiuchumi.
 
Heheeeeee! Huwa nasoma huku mapenzi siku hizi ni hela tu sasa kwa utajiri huo unataka kutuambia hakuna wanawake waliojitongozesha kwako hadi uje JF?? Au mali zako umezifanya siri pia huko mtaani??
 
Heheeeeee! Huwa nasoma huku mapenzi siku hizi ni hela tu sasa kwa utajiri huo unataka kutuambia hakuna wanawake waliojitongozesha kwako hadi uje JF?? Au mali zako umezifanya siri pia huko mtaani??
Aoe hizo mali zake, hajielewi mwenzio huyo!
 
hivi ni kweli humu watu wanatafuta wanawake wa kuoa na wanapata?????

au ni wanawake wa burudani na kupita kushoto..

hivi mwanamke ukimpatia humu ukamuoa alafu bado ni member humu

hivi si ni sawa kujisahaulisha
 
Wanatafuta wa burudani tu! Walio serious basi watakua na matatizo, wanatafuta wenye matatizo wenzao! Kama yule dada anaetafuta hanithi sijui!!!
 
hivi ni kweli humu watu wanatafuta wanawake wa kuoa na wanapata?????

au ni wanawake wa burudani na kupita kushoto..

hivi mwanamke ukimpatia humu ukamuoa alafu bado ni member humu

hivi si ni sawa kujisahaulisha
Unadhani watu walioko humu wanatoka ulimwengu mwingine? Ni hao hao unaowajua, wangine ni jirani zako. Sema ukikutana nao huko mitaani huwezi kujua yalio mioyoni mwao( kama wanahitaji wenza na hawawezi kukuambia maana hawajui kama unahitaji kama lao) ila huku kwa sababu wako nyuma ya pazia wanaleta shida zao, ili kwamba alie na shida kama yake aende huko kwa nyuma ya pazia wayajenge.
 
sikulijua hilo, sio mbaya all the best
 
Yaani wewe jamaa umetisha saaana, na kwa style uliyo tumia nadhani utakuwa umewagegeda sana maana ni wadhaifu sana katika mambo uliyo wadanganyia ,

Ila kama ulitumia ndom basi utakuwa free, ila kama ndom uliiweka kando mzee basi ukapime maana mhhh,

By the way, nimependa funzo lako sana na kwa somo hilo wengi watajifunza pia
 
tell him ! mbona miaka 39 anaongeza nyumba juu ya nyuma hapati mke? aeleze ukweli wote asiweke story ya upande mmoja.kwani sisi tunaishi mapangoni hadi tushobokee nyumba zake?
Miss vip mkuu.. Uliingizwa pm nn! jamaa kawazingua sio... Hahahahahaaa...
 
Mkuu, nanusa harufu ya tatizo upande wako. Hainiingii akilini miaka 39 hujawahi kumzimikia demu na ukaweka juhudi za kumfukuzia kwa kigezo cha moyo wako kumfia, ? Mitaani, kwenye mikutaniko ya kijamii, sehemu za kazi etc etc. Siamini ukimpenda msichana leo, mkaanza kudate, bila kuonesha ubishoo basi ataanza kudemand wealthy kwako. It seems social circle yako ina mapungufu, pamoja na utajiri ulio nao kama moyo wako umeshindwa kupenda/kuchagua mke kwa kisingizio kwamba wanawake wanapenda mali zako, shida iko kwako.
 
hivi ni kweli humu watu wanatafuta wanawake wa kuoa na wanapata?????

au ni wanawake wa burudani na kupita kushoto..

hivi mwanamke ukimpatia humu ukamuoa alafu bado ni member humu

hivi si ni sawa kujisahaulisha
Kwani kua member humu kuna tatizo gani mkuu? Ilimradi hili si danguro na unamuamini huyo mwanamke sioni sababu ya mwanaume kumind mkewe kua humu.
 
Back
Top Bottom