mie huwa simwambii mwanamke kama Nina Nazi nzuri Bali najiweka maisha duni ili nijue kweli nimependwa au blah blah
Ulikuwa miongoni mwao nini!?tell him ! mbona miaka 39 anaongeza nyumba juu ya nyuma hapati mke? aeleze ukweli wote asiweke story ya upande mmoja.kwani sisi tunaishi mapangoni hadi tushobokee nyumba zake?
Afadhali umempa muongozo!Kwani ukitafuta mchumba mke ni lazima useme una mali au huna?! Angalia mfano hapo chini:
Umri:39
Kazi:Banker/Nimejiajiri
Elimu😀iploma,Degree,Masters,PhD
Makazi:Mwanza
Huna haja ya kuandika kiwango cha mshahara wako au mali ulizonazo, mwanamke akiongea na wewe tu atajua huyu ni mtu wa aina gani, anavutiwa na wewe au la!
Yaani huyu ndo wale akikununulia kiatu atakusimanga nacho mpaka kichakae.Mkuu ungekausha tu na matokeo ya utafiti wako. Kuanza kujieleza mambo yako kwa style ya kutangaza mali zako imekaa kisifa sifa flani. It's not a smart move. Inaoneka unajisikilizia sana mali zako ndio maana hao wadada unaokutana huko mitaani una wachosha na misifa. Au ndio mfa maji au sizitaki mbichi hizi baada kutoswa na wanawake wa JF? Wapo wanawake wanaowakataa matajiri wakaenda kuolewa na mtu wa kawaida kiuchumi.
Mwanaume ukikutana nae tu... Kuanzia kola ya shati hadi viatu, utajua tu yukoje kiuchumi.Mnawafundisha wanawake sasa kuelewa opposite na utakavyojielezea. Ukisema unapesa wanajua kanjanja huyu, ila ukisema masikini wataanza kuja speed hadi utaogopa. Jaribu uone kuanzia leo.
Aoe hizo mali zake, hajielewi mwenzio huyo!Heheeeeee! Huwa nasoma huku mapenzi siku hizi ni hela tu sasa kwa utajiri huo unataka kutuambia hakuna wanawake waliojitongozesha kwako hadi uje JF?? Au mali zako umezifanya siri pia huko mtaani??
Wanatafuta wa burudani tu! Walio serious basi watakua na matatizo, wanatafuta wenye matatizo wenzao! Kama yule dada anaetafuta hanithi sijui!!!hivi ni kweli humu watu wanatafuta wanawake wa kuoa na wanapata?????
au ni wanawake wa burudani na kupita kushoto..
hivi mwanamke ukimpatia humu ukamuoa alafu bado ni member humu
hivi si ni sawa kujisahaulisha
Unadhani watu walioko humu wanatoka ulimwengu mwingine? Ni hao hao unaowajua, wangine ni jirani zako. Sema ukikutana nao huko mitaani huwezi kujua yalio mioyoni mwao( kama wanahitaji wenza na hawawezi kukuambia maana hawajui kama unahitaji kama lao) ila huku kwa sababu wako nyuma ya pazia wanaleta shida zao, ili kwamba alie na shida kama yake aende huko kwa nyuma ya pazia wayajenge.hivi ni kweli humu watu wanatafuta wanawake wa kuoa na wanapata?????
au ni wanawake wa burudani na kupita kushoto..
hivi mwanamke ukimpatia humu ukamuoa alafu bado ni member humu
hivi si ni sawa kujisahaulisha
sikulijua hilo, sio mbaya all the bestUnadhani watu walioko humu wanatoka ulimwengu mwingine? Ni hao hao unaowajua, wangine ni jirani zako. Sema ukikutana nao huko mitaani huwezi kujua yalio mioyoni mwao( kama wanahitaji wenza na hawawezi kukuambia maana hawajui kama unahitaji kama lao) ila huku kwa sababu wako nyuma ya pazia wanaleta shida zao, ili kwamba alie na shida kama yake aende huko kwa nyuma ya pazia wayajenge.
umeona eeMkomage! Mkipata wasichana wakweli mnawakataa kwasababu hawana mvuto mnaohitaji.
Miss vip mkuu.. Uliingizwa pm nn! jamaa kawazingua sio... Hahahahahaaa...tell him ! mbona miaka 39 anaongeza nyumba juu ya nyuma hapati mke? aeleze ukweli wote asiweke story ya upande mmoja.kwani sisi tunaishi mapangoni hadi tushobokee nyumba zake?
Kwani kua member humu kuna tatizo gani mkuu? Ilimradi hili si danguro na unamuamini huyo mwanamke sioni sababu ya mwanaume kumind mkewe kua humu.hivi ni kweli humu watu wanatafuta wanawake wa kuoa na wanapata?????
au ni wanawake wa burudani na kupita kushoto..
hivi mwanamke ukimpatia humu ukamuoa alafu bado ni member humu
hivi si ni sawa kujisahaulisha