Nilichokigundua kutoka kwenye Kaburi la Hayati Rais Magufuli

Yan ny watu wa mwendazake cjui mtaacha lin unafk! Nijibu mbna mkapa kabur lake wala cku yake aliyo fark hamvip uzito mmekazania tu uyo shujaa? Kama una pcha ya kabur la mkapa niwekee hapa tufananishe na la mwendazake af unambie mbn la lupaso halpo kama la chato!
 
Kaburi lake , ni asset yenye thamani kubwa sana na inapaswa kulindwa kwà Nguvu zote. Na tena ikibidi...pale kwenye kaburi iwe kama MFANO tu...yeye atolewe pale na kuwekwa KUSIKOJULIKANA.
Asante kwa kumuelewesha
 
Duuh mzee muongo wewe
 
Hodari, Jasiri, Shapavu na Shujaa

Mhe. Rais. Dkt. John Joseph Pombe Magufuli ( Rais wa Awamu ya Tano, wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania)
 

Story za kusadikika kias chake. The dead dont tell tales my friend
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…