Nilichokigundua kutoka kwenye Kaburi la Hayati Rais Magufuli

Nilichokigundua kutoka kwenye Kaburi la Hayati Rais Magufuli

"waliuwa mwili tu[emoji79]lakini roho yako inaishi ndani ya roho zetu[emoji92][emoji268][emoji3257]" R.I.P JPM [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Binadamu ni razima ufe ili utoe nafasi ya binadamu mwingine kuishi na ndio maana kila siku watu wana kufa na kuzaliwa.

Suala la kufa ni suala la razima na wala halina uhusiano wowote na huruma wala upendo.
Siku zako za kuishi hapa duniani ulizo pangiwa na mungu ziliisha ni razima ufe na wala hautaongezewa hata sekunde moja haijalishi ww ni mzuri kiasi gani na unategemewa na watu wangapi.
Kakudanganya Nan binadamu lazima afe?

Kuna binadamu hawataonja mauti na wapo ambao hawajaonja mauti mfano Eliya,Henock
 
Mungu anapo amuwa kukuondoa ulimwenguni ni kwamba umuhimu wako wako hapa duniani umekwisha haijalishi ulikuwa mwema au ulikuwa muovu.

Kwahiyo haijalishi Magufuri alikuwa mzuri kiasi gani kwa sasa hana umuhimu wowote hapa duniani acheni kutupigia kelele.
Inategemea umelitizama kwa upande upi..... Kwa Imani za kihebrania, kiafrika......
 
Mungu anapo amuwa kukuondoa ulimwenguni ni kwamba umuhimu wako wako hapa duniani umekwisha haijalishi ulikuwa mwema au ulikuwa muovu.

Kwahiyo haijalishi Magufuri alikuwa mzuri kiasi gani kwa sasa hana umuhimu wowote hapa duniani acheni kutupigia kelele.
Ukikutana na Lazaro aliyekufa kisha akafufuliwa na Kristo Yesu, umuulize umuhimu wake ulikuwa nini hata afufuliwe!

Biblia inapokataza usiue, Mungu anajua kuna wapuuzi watajaribu kukatisha maisha ya wengine!
 
Back
Top Bottom