Nilichokigundua kutoka kwenye Kaburi la Hayati Rais Magufuli

Nilichokigundua kutoka kwenye Kaburi la Hayati Rais Magufuli

Heading yako na content uliyo weka havishabihiani. Ene wei tunaomba picha ya kaburi na sisi tuangalie hiyo vitu ulivyogundua
Hayati Magufuli, alikua

1. AFISA USALAMA WA TAIFA
2. KIONGOZI WA TAIFA

NOTE. Maafisa Usalama na Viongozi wa Taifa huwa hawafi. Huwa ni kama ma sterring kwenye movie
z.JPG
 
Attachments

  • z.JPG
    z.JPG
    37.1 KB · Views: 4
Ok, kumbe ndo maana siku ile wakati wa mazishi...kuna jamaa kama kadhaa hivi wakiwa wamevalia suti nyeusi ...walienda wakalizunguka Kaburi chapu kwà haraka kisha wakatokomea...

Kwenye tv walionyesha kwà sekunde kama 3 hivi....wakaweka vitu vingine ili tukio lile lisionekane public. Daah

R.I.P JPM [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Lala salama JPM [emoji24][emoji24][emoji24]
Pumzika kwa Amani JPM [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Maono YAKO na Mipango YAKO, endapo Mungu akinipa ridhaa....nipo tayari kuiendeleza , kuisimamia na kuitekeleza.

" Here I am , send Me " I AM AVAILABLE AND READY AT ANYTIME!!!!
 
Ok, kumbe ndo maana siku ile wakati wa mazishi...kuna jamaa kama kadhaa hivi wakiwa wamevalia suti nyeusi ...walienda wakalizunguka Kaburi chapu kwà haraka kisha wakatokomea...

Kwenye tv walionyesha kwà sekunde kama 3 hivi....wakaweka vitu vingine ili tukio lile lisionekane public. Daah

R.I.P JPM [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Nakuja inbox
 
Kila binadamu unaye muona hapa duniani akiwemo mm na ww amezaliwa kwa kusudi maalumu hivyo ukiona amekufa jua kusudio lake lililo mleta duniani limekwisha na hana umuhimu wowote duniani.

Binadamu anapo kufa basi ndo mwisho wa kila kitu chake hapa duniani na ndio maana huyo magufuri kwa sasa hana maamuzi yeyote kwa chochote hapa ulimwenguni maana amesha kufa na yuko chini ya ardhi.

Huo uzuri na uchapa kazi wa magufuri Mungu aliona hauna umuhimu wowote kwa Tz ya sasa na ndio maana alimuondoa.

Mungu amesha fanya maamuzi yake hivyo hizo kelele zenu haziwezi kubadili chochote.
Hawa watu sijui wataacha lini kumuubudu marehemu
 
Nakushauri ukajenge karibu na Hilo kabli hutapata shida kabisa
Naona Maneno YAKO ni kama yana mimba hivi, je unaweza kuyazalisha ili akuelewe vizuri?

#Intimacy #Connection #Chemistry #Bond (Invisible Image VS visible Image)
 
Back
Top Bottom