Nilichokigundua kutoka kwenye Kaburi la Hayati Rais Magufuli

Tupo kwenye mambo ya Spirit tena? Siasa za mizimu?

Anyway apumzike kwa amani, na nyie mnaonufaika na kumtaja taja kila la heri kwa mnayopigania.
Rais wangu Magufuli, pumzika kwà Amani. Hakika kifo chako ni pigo na pengo kubwa sana katika Taifa letu na Bara letu.

Nitakukumbuka Daima JPM [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Kwahiyo magufuri alikufa kwa amri yako na sio Mungu.
Shetan amewapofusha mumuone Mungu ni muuaji na asiye na upendo

Unaongea hivi sababu hamsom Maandiko vzr,

Hayajakukuta tu pale baba yako unayemtegemea kila kitu amefarik halafu unaambiwa Mungu ndiye kamchukua ,at the same time unaambiwa Mungu ana Upendo
 
Andiko linaua , lakini Neno huumpa mtu uzima.

Ndani ya andiko limo Neno...na ni vigumu sana kulipata Neno endapo utakua na majivuno, kiburi, dharau...
 
Shetan amewapofusha mumuone Mungu ni muuaji na asiye na upendo

Unaongea hivi sababu hamsom Maandiko vzr,

Hayajakukuta tu pale baba yako unayemtegemea kila kitu amefarik halafu unaambiwa Mungu ndiye kamchukua ,at the same time unaambiwa Mungu ana Upendo
Binadamu ni razima ufe ili utoe nafasi ya binadamu mwingine kuishi na ndio maana kila siku watu wana kufa na kuzaliwa.

Suala la kufa ni suala la razima na wala halina uhusiano wowote na huruma wala upendo.
Siku zako za kuishi hapa duniani ulizo pangiwa na mungu ziliisha ni razima ufe na wala hautaongezewa hata sekunde moja haijalishi ww ni mzuri kiasi gani na unategemewa na watu wangapi.
 
"Nataka wala rushwa wengi wafungwe...." JPM
maguu%2B%25281%2529.jpg
 
"Tusikubali mtu akatuingizia mambo ya ukabila..."JPM
ExwdXIhW8AgAUO2.jpg
 
Si ungeomba wakuue na kukuzika pembeni yake ili uwe unawasiliana naye kuliko kutusumbua huku?Mngekuwa na akili mngeacha kupost thread za huyu ibilisi kwani mnavyojitahidi kuziba makosa yake kwa hoja za kitoto ndivyo wahanga wa utawala wake wanaendelea kumpopoa
Mungu akusamehe Ndugu yangu. Hujui ulisemalo.
 
Si ungeomba wakuue na kukuzika pembeni yake ili uwe unawasiliana naye kuliko kutusumbua huku?Mngekuwa na akili mngeacha kupost thread za huyu ibilisi kwani mnavyojitahidi kuziba makosa yake kwa hoja za kitoto ndivyo wahanga wa utawala wake wanaendelea kumpopoa
Sikumoja utamkumbuka
maxresdefault.jpg
 
Back
Top Bottom