Nilichokigundua Kutoka Simba Mpya - Simba 0 - 1 TP Mazembe

Ninachoona hapa ni kwamba umeshajengeka mtazamo kuwa Simba anatakiwa afanye vizuri, akifanya vibaya kuna jambo la kuchunguzwa, lakini Yanga huwa hakuna kipya, maana tayari huwa anatazamiwa kufanya vibaya
Imagine unafanya vibaya mara 27 na unachukua Ubingwa. Halafu Simba anafanya vizuri mara 49 lakini anakuwa Bingwa mara 22.
 
CEO Barbara Gonzalenzi kwenye Space alisema Kanoute ni replacement ya Chama.

Sasa nimsikilize CEO au unachokisema wewe?
 
Imagine unafanya vibaya mara 27 na unachukua Ubingwa. Halafu Simba anafanya vizuri mara 49 lakini anakuwa Bingwa mara 22.
Mkuu, tunazungumzia mechi za kimataifa, au unaturudisha tena kwenye Ligi ya Bara mliporudi? Kwani huko Nigeria mlienda kutafuta ubingwa wa 28 ? Au Simba amecheza kwa Mkapa na Mazembe kuutafuta ubingwa wa 23 ? Jaribuni kuhamisha mawazo kidogo yawe ya mbele. Simba siku hizi ubingwa ni tiketi ya kucheza CAF CL
 
The Return Of Champions ni kwenye Ligi & Sio kwenye CAFCL.

Kama ni box to box inamaana mme downgrade kwenye kumreplace Chama si ndio?
 
Sentenso yako ya mwisho imeharibu analysis yako yote.... imekuwa ni UTOPOLO TU
 
CEO Barbara Gonzalenzi kwenye Space alisema Kanoute ni replacement ya Chama.

Sasa nimsikilize CEO au unachokisema wewe?
Na huo ndipo unapokosea sasa unashindwa kuangalia position ya mchezaji uwanjani unasikiliza maneno. Hata kama ni replacement ya Chama ila jana hakucheza katika position ya Chama
 
Na huo ndipo unapokosea sasa unashindwa kuangalia position ya mchezaji uwanjani unasikiliza maneno. Hata kama ni replacement ya Chama ila jana hakucheza katika position ya Chama
chief executive officer (CEO) is the highest-ranking executive in a company, whose primary responsibilities include making major corporate decisions, managing the overall operations and resources of a company - Simba wont sign a player pasi na Barbara Gonzalenz kujua kiundani uhitaji wa aina hiyo ya mchezaji anayehitajika.
 
Kuna watu ni takataka san kichwani afu unajifanya mchambuzi uchwara,konoute anacheza wapi na chama alikuwa anacheza wapi mpaka uwafananishe?kiungo mkabaji anakuja kuziba pengo la kiungo mchezeshaji?jipige kifuani jiambie mie takataka pro max
TP wamekuja sebuleni kwenu wamewapiga kimoja cha ubakaji......
mazembe mtu mbadi
 
Comment yako umetoa based on Yesterday's game. Na kutokana na game ya jana huyo Kanoute hakucheza kama CEO alivyokuambia atafanya replacement ya Chama. Kama uliangalia game Bwalya ndio alikua positioned sehemu ya Chama and Kanoute alikua anacheza sehemu anayocheza Mzamiru.

Angalia mpira and fanya analysis based on game.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…