Nilichokikuta kwa Hamisa Instagram

Nilichokikuta kwa Hamisa Instagram

me and I

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Posts
1,540
Reaction score
1,357
1473437355296.png
1473437367974.png

Nimekutana na hii kitu Instagram kwenye account ya Hamisa Mobeto mzazi mwenzake Majizzo(CEO wa Efm) Ambae ndo shemela wake na Lulu kwa sasa, Imekuwepo Maneno ya kuchambana Kati ya hamisa na lulu lakini hii picha na caption aliopost hamisa Mmmmmh ?????? Hamisa alivo mswahili hivo huo moyo sidhani Kama anao.
 
View attachment 397063View attachment 397064

Nimekutana na hii kitu Instagram kwenye account ya Hamisa Mobeto mzazi mwenzake Majizzo(CEO wa Efm) Ambae ndo shemela wake na Lulu kwa sasa, Imekuwepo Maneno ya kuchambana Kati ya hamisa na lulu lakini hii picha na caption aliopost hamisa Mmmmmh ?????? Hamisa alivo mswahili hivo huo moyo sidhani Kama anao.
Hamna wala sio mswahili,Tena Lulu ni mswahili hatari na anachamba mange anasoma anajifanyaga kutulia tu akishapata danga la maana
Hamisa ametukanwa na anatukanwa sana na team Dai na team Lulu Ila hawajahi kuwajibu hata Siku moja!

Ila yule ni mzazi mwenzie jamani
Mi nimemsifu sana tu kwa kweli!
 
Mzazi mwenzio hata kma mmeachana ni baba wa mtoto wko.na kma anakutunza kwanini usimpe salam ya hpd yke ....mimi hata kma tumeachana ntakuheshimu n mtoto wng ntamtunza kwa 100% mana ni wajibu wng
safi sana!
 
Yeah ila Mimi mm nimejiuliza kwann hajaweka ya peke yake kaweka pic ambayo yuko na lulu
 
Back
Top Bottom