me and I
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 1,540
- 1,357
Nimekutana na hii kitu Instagram kwenye account ya Hamisa Mobeto mzazi mwenzake Majizzo(CEO wa Efm) Ambae ndo shemela wake na Lulu kwa sasa, Imekuwepo Maneno ya kuchambana Kati ya hamisa na lulu lakini hii picha na caption aliopost hamisa Mmmmmh ?????? Hamisa alivo mswahili hivo huo moyo sidhani Kama anao.