Hamna wala sio mswahili,Tena Lulu ni mswahili hatari na anachamba mange anasoma anajifanyaga kutulia tu akishapata danga la maanaView attachment 397063View attachment 397064
Nimekutana na hii kitu Instagram kwenye account ya Hamisa Mobeto mzazi mwenzake Majizzo(CEO wa Efm) Ambae ndo shemela wake na Lulu kwa sasa, Imekuwepo Maneno ya kuchambana Kati ya hamisa na lulu lakini hii picha na caption aliopost hamisa Mmmmmh ?????? Hamisa alivo mswahili hivo huo moyo sidhani Kama anao.
sina hakika mi najua Dina MariosHuko iefuem ndiko aliko na fina mango?
Moyo mashine!!ya kukobolea nafaka!Ukisikia kupatwa kwa moyo ndio huko
Hapo sasa.Ina maana huyu demu ana mimba nyingine ya majizzo?
safi sana!Mzazi mwenzio hata kma mmeachana ni baba wa mtoto wko.na kma anakutunza kwanini usimpe salam ya hpd yke ....mimi hata kma tumeachana ntakuheshimu n mtoto wng ntamtunza kwa 100% mana ni wajibu wng
Yeah ila Mimi mm nimejiuliza kwann hajaweka ya peke yake kaweka pic ambayo yuko na luluMzazi mwenzio hata kma mmeachana ni baba wa mtoto wko.na kma anakutunza kwanini usimpe salam ya hpd yke ....mimi hata kma tumeachana ntakuheshimu n mtoto wng ntamtunza kwa 100% mana ni wajibu wng