Nilichokikuta kwa Mchepuko wangu jana, wanaume tuwe makini

Kuna watu wamesoma huu uzi na kuanza kufokafoka ila wenye akili wameleewa, hapa sitetei dhambi ya kuchepuka na nnakiri kua huo ni udhaifu lkn nani mwanaume hapa asie mdhaifu na anyooshe kidole juu, sasa kwa kuzingatia hilo nikaona huu mkasa unaweza kua somo kwa wenye akili ( nnasisitiza kwa wale wenye akili tu) ndio wanaweza kujifunza hapa, na bahati mbaya wanaume mashuhuri kwa kushambulia wenzao huwa ni wachafu kuliko uchafu wentewe
 
Nnawasalim sana wakuu, nnaomba niende kwenye mada moja kwa moja.
Ni hivi mimi ni mwajiriwa na niko mkoa fulani, familia yangu iko Mkoa Mwingine. Sasa baada ya kuja hapa ktk pitapita zangu nikakutana na binti mmoja mzuri tu na mwenye sura ya upole na mtulivu, yeye anafanya kazi sector binafsi. Basi Wakuu kama kawaida nikaona nisiendelee kuteseka nikajiweka lkn kwa sharti kwamba lazma kupima afya na yeye akakubali. Nlimfahamisha nna familia so akawa anajua na akanambia alikua na mtu sema wameachana.
Basi maisha yakasonga, nikajikuta nnampenda kwa maana aliniwezea sana lkn pia ni mtulivu huwez mdhania.
Basi bwana Weekend ile kabla ya hii ya juzi siku ya jumamosi akawa Hapatikan kabisa ktk sim zake, kutwa nzima isipokua kuna saa ikaita mpaka ikakatika na baada ya hapo hakupatikana tena.
Jion sana akapatikana na nlipomhoji kulikoni akanambia alikua shamba nje ya mji na hakuna mawasiliano. Nikamuuliza toka msimu wa kilimo unaanza mpaka sasa wanavuna sikuwahi kusikia una shamba kulikoni? Akajibu simple tu kwamba analo na hakunambia, ila kiuwanaume nikaona tayar hapa kuna issue ila nikatulia kukusanya ushahidi na hakika mipango yangu ilikua nimpakie garini nimtake anipeleek huko shamba.
Sasa baada ya huo mkasa nikasafiri na nikamuaga. Siku ya jumatatu nikarejea bila kumwambia na nlipofika nikampigia akanambia yuko saluni, ila baada kama ya saa moja na hivi nikaanza kumpigia hapatikani kabisa, nikaona hapa tayaar.
Basi nikaenda kwake, gonga sana mlango na dirisha lkn hapakua na dalili ya uwepo wa tu zaidi ya viumbe kama panya.
Siku ile nikapanga kuhakikisha nnapata ukweli so nikarejea kwangu then nikatulia (sikulala kabisa) mpaka saa 11 alfajri nikaenda kutega njia anayopitaga kwenda kazini lkn mpaka panapambazuka hakutokea. Muda kidogo simu zake zikawa hewani akanza ngonjjera kua alisahau charger ofisin ndio maana hakupatikana kwakua simu ilizima.
Basi nikajifanya boya, jion nikamuibukia home nikambana akagoma kua hachepuki, basi mwanaume nikalegezwa na nikapewa na mbususu.
Nlipoanza zoez tu nikakuta kitu sio kabisa bas nikakomaa ila nlipomaliza nikamuuliza mbona leo baridi sana akaanza blahblah. Hapo sasa nikasema mimi na yeye na yeye na mimi, nikachukua sim nikataka kusepa nayo aisee akaanza kuweweseka na hilo likanipa sababu ya kukomaa zaidi.
Bas bwana baada ya kumbana akakubali kua kweli hakua home alilala kwa jamaake na akakiri aliliwa.
Kwanza nikapata hasira mnoo baada ya kujua alipokojoa muuni bila kinga na mimi nimerejea hapo ktk muda usiozidi masaa 12. Nlichofanya nikamzoa muda kama wa saa saba mpaka dispensary kupima afya tukawa poa then nikampeleka mahala nikamtaka afungue simu hapo ndio balaa lilipoibuka maana aligoma kabisa.
Bas wakati malumbano yanaendelea kama muda wa saa nane usiku akapiga jamaa nikapokea ebwana nikamchana mwana kua jopange hapa huna mtu maana tuko foleni kama ya mbagala na namba yake nikachukua huku dem kaganda kama sanamu.
Baada ya simu ile nikamkaba kwa mbinu za medani akafungua simu, ebwanaeee niakkuta Chart za jamaa aliemla ule usiku( Huyu sio aliepiga simu) wanaelezana mchezo ulivyokua. Nilakuta na Chart za mwana aliepiga simu nae ni jamaa yake na ndio waliokua wote ile weekend nliokua simpati, nikakuta na mawasiliano ya muuni mwingine tena anakula lkn na namba kibaoo, yaani nyingi zenye majina na ambazo hazipo ktk phone book zote mapenz matupu.
Ila kwa uhakika kabisa nikajikuta ndani ya Mkoa huu niliopo kuna wana watatu na mimi wa nne tunamkula huyu mtu mmoja na bahati mbaya hakuna kinga hapo.
Kiukweli nilijaa upepo, nlichofanya nikachukua namba za wana na wote nimewapa taarifa juu ya hii chain maana ni hatari mnoo. Bahati mbaya sana nikagundua wote ni vijana na tuna familia, hapa nikajiuliza manaake mmoja kati yetu angekwaa lolote hapa manaake chain yote hii na wake zetu wangekua hatarini.
Pamoja na kwamba nimefupisha hii story, somo kuu nlilopata na ambalo nnawapa ninyi vijana wenzangu ni ACHA MICHEPUKO, KUA MAKINI SANA NA USITHUBUTU KUMWAMINI MTU, nnarudia haswa kwa wanaume tuepuke kua na imani na hawa watu, hata kama umepima aisee usijidanganye ukaenda kihuni utaja lia.
Lingine la Muhimu sana ni kuweka akilini ule msemo kua 'Wanawake malaya wako salama kiafya' kuliko hawa wa mtaani,ofisini naavyuoni, yaan hao ambao bila kinga humgusi ni safe kuliko hawa wa mazoea ambao anawapanga na anaweza maliza Ukoo.
Mwisho japo sio kwa Umuhimu, nimejionea hatari ya kuchepuka kupitia hili tukio, vijana tuache zinaa na tuwe mkini, usipime mtu kwa macho ama hospital na ukamwamini, itakugharimu.
Niwieni radhi kwa hili Bandiko, ukisoma kwa utulivu utapata kitu, utajifunza.
Wassalaam na Nnawatakia kila la kheir
Mi binafsi nimekuelewa.

Kuliko kuwa na mchepuko bora uoe tu,hata wake wawili au watatu,halafu mmoja unakuwa unasafiri nae,yaani anakuwa kama mfuko wa shati.

Niliyo yaandika yana maana sana,endapo ukitumia jicho la akili na moyo kutazama.
 
Mkuu issue sio wivu aisee, nlitaka nithibitishe ushenzi wa mtu nliepima afya nae alaf nikawa nnajimwaga kumbe nipo ktk chain ya moto
Na kibaya alisema alikuwa na jamaa wakaachana kwahiyo kwa maelezo yako alikuwa single
 
Kuna watu wamesoma huu uzi na kuanza kufokafoka ila wenye akili wameleewa, hapa sitetei dhambi ya kuchepuka na nnakiri kua huo ni udhaifu lkn nani mwanaume hapa asie mdhaifu na anyooshe kidole juu, sasa kwa kuzingatia hilo nikaona huu mkasa unaweza kua somo kwa wenye akili ( nnasisitiza kwa wale wenye akili tu) ndio wanaweza kujifunza hapa, na bahati mbaya wanaume mashuhuri kwa kushambulia wenzao huwa ni wachafu kuliko uchafu wentewe
Hakuna anayefoka ila tunakupa ukweli.. Ila ww yawezekana huelewi na huyo mchepuko wako ana akili sana.. Ukumbuke alikuuliza kuwa una mke nawewe ukamjibu unafamilia hvyo yeye lengo la kujiweka kwako peke yako likapungua maana ameshajua tayari hana nafasi yoyote kwako zaidi ya kupotezeana muda.

Ila ww kwenda kupima na kujiweka kwa mchepuko ni kujidanganya tu.

Nakushauri hivi: huo umakini unaouweka kwa mchepuko uweke kwa mkeo. Kama huamini nayokwambia subiri muda utaongea
 
Hivi wanawake hua ukiwa nao wengi ,wanasaidia nini?tayari umesema una familia,ya nini Hayo yote😀
Mwenzio amesema anafanya kazi mbali na familia,alikuwa anajaribu kutafuta sehemu ya kupumulia akiwa mbali na wife.
Kumbuka sex haikwepeki mkuu.
 
Nnawasalim sana wakuu, nnaomba niende kwenye mada moja kwa moja.
Ni hivi mimi ni mwajiriwa na niko mkoa fulani, familia yangu iko Mkoa Mwingine. Sasa baada ya kuja hapa ktk pitapita zangu nikakutana na binti mmoja mzuri tu na mwenye sura ya upole na mtulivu, yeye anafanya kazi sector binafsi. Basi Wakuu kama kawaida nikaona nisiendelee kuteseka nikajiweka lkn kwa sharti kwamba lazma kupima afya na yeye akakubali. Nlimfahamisha nna familia so akawa anajua na akanambia alikua na mtu sema wameachana.
Basi maisha yakasonga, nikajikuta nnampenda kwa maana aliniwezea sana lkn pia ni mtulivu huwez mdhania.
Basi bwana Weekend ile kabla ya hii ya juzi siku ya jumamosi akawa Hapatikan kabisa ktk sim zake, kutwa nzima isipokua kuna saa ikaita mpaka ikakatika na baada ya hapo hakupatikana tena.
Jion sana akapatikana na nlipomhoji kulikoni akanambia alikua shamba nje ya mji na hakuna mawasiliano. Nikamuuliza toka msimu wa kilimo unaanza mpaka sasa wanavuna sikuwahi kusikia una shamba kulikoni? Akajibu simple tu kwamba analo na hakunambia, ila kiuwanaume nikaona tayar hapa kuna issue ila nikatulia kukusanya ushahidi na hakika mipango yangu ilikua nimpakie garini nimtake anipeleek huko shamba.
Sasa baada ya huo mkasa nikasafiri na nikamuaga. Siku ya jumatatu nikarejea bila kumwambia na nlipofika nikampigia akanambia yuko saluni, ila baada kama ya saa moja na hivi nikaanza kumpigia hapatikani kabisa, nikaona hapa tayaar.
Basi nikaenda kwake, gonga sana mlango na dirisha lkn hapakua na dalili ya uwepo wa tu zaidi ya viumbe kama panya.
Siku ile nikapanga kuhakikisha nnapata ukweli so nikarejea kwangu then nikatulia (sikulala kabisa) mpaka saa 11 alfajri nikaenda kutega njia anayopitaga kwenda kazini lkn mpaka panapambazuka hakutokea. Muda kidogo simu zake zikawa hewani akanza ngonjjera kua alisahau charger ofisin ndio maana hakupatikana kwakua simu ilizima.
Basi nikajifanya boya, jion nikamuibukia home nikambana akagoma kua hachepuki, basi mwanaume nikalegezwa na nikapewa na mbususu.
Nlipoanza zoez tu nikakuta kitu sio kabisa bas nikakomaa ila nlipomaliza nikamuuliza mbona leo baridi sana akaanza blahblah. Hapo sasa nikasema mimi na yeye na yeye na mimi, nikachukua sim nikataka kusepa nayo aisee akaanza kuweweseka na hilo likanipa sababu ya kukomaa zaidi.
Bas bwana baada ya kumbana akakubali kua kweli hakua home alilala kwa jamaake na akakiri aliliwa.
Kwanza nikapata hasira mnoo baada ya kujua alipokojoa muuni bila kinga na mimi nimerejea hapo ktk muda usiozidi masaa 12. Nlichofanya nikamzoa muda kama wa saa saba mpaka dispensary kupima afya tukawa poa then nikampeleka mahala nikamtaka afungue simu hapo ndio balaa lilipoibuka maana aligoma kabisa.
Bas wakati malumbano yanaendelea kama muda wa saa nane usiku akapiga jamaa nikapokea ebwana nikamchana mwana kua jopange hapa huna mtu maana tuko foleni kama ya mbagala na namba yake nikachukua huku dem kaganda kama sanamu.
Baada ya simu ile nikamkaba kwa mbinu za medani akafungua simu, ebwanaeee niakkuta Chart za jamaa aliemla ule usiku( Huyu sio aliepiga simu) wanaelezana mchezo ulivyokua. Nilakuta na Chart za mwana aliepiga simu nae ni jamaa yake na ndio waliokua wote ile weekend nliokua simpati, nikakuta na mawasiliano ya muuni mwingine tena anakula lkn na namba kibaoo, yaani nyingi zenye majina na ambazo hazipo ktk phone book zote mapenz matupu.
Ila kwa uhakika kabisa nikajikuta ndani ya Mkoa huu niliopo kuna wana watatu na mimi wa nne tunamkula huyu mtu mmoja na bahati mbaya hakuna kinga hapo.
Kiukweli nilijaa upepo, nlichofanya nikachukua namba za wana na wote nimewapa taarifa juu ya hii chain maana ni hatari mnoo. Bahati mbaya sana nikagundua wote ni vijana na tuna familia, hapa nikajiuliza manaake mmoja kati yetu angekwaa lolote hapa manaake chain yote hii na wake zetu wangekua hatarini.
Pamoja na kwamba nimefupisha hii story, somo kuu nlilopata na ambalo nnawapa ninyi vijana wenzangu ni ACHA MICHEPUKO, KUA MAKINI SANA NA USITHUBUTU KUMWAMINI MTU, nnarudia haswa kwa wanaume tuepuke kua na imani na hawa watu, hata kama umepima aisee usijidanganye ukaenda kihuni utaja lia.
Lingine la Muhimu sana ni kuweka akilini ule msemo kua 'Wanawake malaya wako salama kiafya' kuliko hawa wa mtaani,ofisini naavyuoni, yaan hao ambao bila kinga humgusi ni safe kuliko hawa wa mazoea ambao anawapanga na anaweza maliza Ukoo.
Mwisho japo sio kwa Umuhimu, nimejionea hatari ya kuchepuka kupitia hili tukio, vijana tuache zinaa na tuwe mkini, usipime mtu kwa macho ama hospital na ukamwamini, itakugharimu.
Niwieni radhi kwa hili Bandiko, ukisoma kwa utulivu utapata kitu, utajifunza.
Wassalaam na Nnawatakia kila la kheir
Bora umepata la kujifunza maana naona harakati zingine hazina maana, umemuacha wife mkoa, huenda huna hata sababu ya msingi ya kuchepuka ( ingawaje hakuna sababu inayoruhusu uzinzi) ukaanza pilika zisizo za msingi za kwenda kumtega mwanamke ambae si wako saa kumi na moja bararbarani, em waza huu muda ungekua unashauriana na mkeo juu ya maisha yenu, au ungekua unamwomba Mungu abariki kazi yako na familia yako. Acha niishie hapa
 
Kuna watu wamesoma huu uzi na kuanza kufokafoka ila wenye akili wameleewa, hapa sitetei dhambi ya kuchepuka na nnakiri kua huo ni udhaifu lkn nani mwanaume hapa asie mdhaifu na anyooshe kidole juu, sasa kwa kuzingatia hilo nikaona huu mkasa unaweza kua somo kwa wenye akili ( nnasisitiza kwa wale wenye akili tu) ndio wanaweza kujifunza hapa, na bahati mbaya wanaume mashuhuri kwa kushambulia wenzao huwa ni wachafu kuliko uchafu wentewe
Mkuu kuchepuka sio udhaifu, ni uamuzi.

Lack of self control decline of moral values. Sikuhukumu ila wanadamu tumekuwa wakengeufu sana kila kitu tunachukulia poa. Siku hizi kama huchepuki unaonekana wa ajabu na mshamba. Kuna uzi mwingine huko jamaa anajisifia kuwa kwenye mahusiano na mke wa mtu for 15 years. Anyways, ndo namna tulivyochagua kuishi kama vile hakuna Mungu. Tunafanya tunachojisikia, tunaharibu familia kwa kujenga misingi na mifano mibaya kwenye jamii yetu.
 
Unamuonea wivu mchepuko kama mwanaume umeyumba.. Halafu kufumania watu sio jambo zuri unaweza ukafa
 
Simply wewe ni mchepuko ndani ya mchepuko kwenye huo mchepuko ambao ni malaya, yaan ulitaka kujifanya mme wakati danga! Pole sana
 
Mkuu kuchepuka sio udhaifu, ni uamuzi.

Lack of self control decline of moral values. Sikuhukumu ila wanadamu tumekuwa wakengeufu sana kila kitu tunachukulia poa. Siku hizi kama huchepuki unaonekana wa ajabu na mshamba. Kuna uzi mwingine huko jamaa anajisifia kuwa kwenye mahusiano na mke wa mtu for 15 years. Anyways, ndo namna tulivyochagua kuishi kama vile hakuna Mungu. Tunafanya tunachojisikia, tunaharibu familia kwa kujenga misingi na mifano mibaya kwenye jamii yetu.
Nami nimeona uzi huo hakika nimebaki kusikitika, maamrisho ya aliyetuumba yanageuzwa kabisa. Usizini imekua kama ndio watu wamefunguliwa. Maofisini ukikaa ukisikiza mazungumzo ya vijana na ya wazee wetu unabaki unatoa macho. Mtu anakuambia kwenye uzinifu anamsafishie mke rungu akimpelekea inakua safi. Hakika mola wetu atusamehe
Na tumwombe atuongoze
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ko una mke ila unawivu na mchepuko hatari, kweli wanaume hatupend kushindwa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom