Nilichokikuta kwa Mchepuko wangu jana, wanaume tuwe makini

Kuna watu wamesoma huu uzi na kuanza kufokafoka ila wenye akili wameleewa, hapa sitetei dhambi ya kuchepuka na nnakiri kua huo ni udhaifu lkn nani mwanaume hapa asie mdhaifu na anyooshe kidole juu, sasa kwa kuzingatia hilo nikaona huu mkasa unaweza kua somo kwa wenye akili ( nnasisitiza kwa wale wenye akili tu) ndio wanaweza kujifunza hapa, na bahati mbaya wanaume mashuhuri kwa kushambulia wenzao huwa ni wachafu kuliko uchafu wentewe
 
Mi binafsi nimekuelewa.

Kuliko kuwa na mchepuko bora uoe tu,hata wake wawili au watatu,halafu mmoja unakuwa unasafiri nae,yaani anakuwa kama mfuko wa shati.

Niliyo yaandika yana maana sana,endapo ukitumia jicho la akili na moyo kutazama.
 
Mkuu issue sio wivu aisee, nlitaka nithibitishe ushenzi wa mtu nliepima afya nae alaf nikawa nnajimwaga kumbe nipo ktk chain ya moto
Na kibaya alisema alikuwa na jamaa wakaachana kwahiyo kwa maelezo yako alikuwa single
 
Hakuna anayefoka ila tunakupa ukweli.. Ila ww yawezekana huelewi na huyo mchepuko wako ana akili sana.. Ukumbuke alikuuliza kuwa una mke nawewe ukamjibu unafamilia hvyo yeye lengo la kujiweka kwako peke yako likapungua maana ameshajua tayari hana nafasi yoyote kwako zaidi ya kupotezeana muda.

Ila ww kwenda kupima na kujiweka kwa mchepuko ni kujidanganya tu.

Nakushauri hivi: huo umakini unaouweka kwa mchepuko uweke kwa mkeo. Kama huamini nayokwambia subiri muda utaongea
 
Hivi wanawake hua ukiwa nao wengi ,wanasaidia nini?tayari umesema una familia,ya nini Hayo yote😀
Mwenzio amesema anafanya kazi mbali na familia,alikuwa anajaribu kutafuta sehemu ya kupumulia akiwa mbali na wife.
Kumbuka sex haikwepeki mkuu.
 
Bora umepata la kujifunza maana naona harakati zingine hazina maana, umemuacha wife mkoa, huenda huna hata sababu ya msingi ya kuchepuka ( ingawaje hakuna sababu inayoruhusu uzinzi) ukaanza pilika zisizo za msingi za kwenda kumtega mwanamke ambae si wako saa kumi na moja bararbarani, em waza huu muda ungekua unashauriana na mkeo juu ya maisha yenu, au ungekua unamwomba Mungu abariki kazi yako na familia yako. Acha niishie hapa
 
Mkuu kuchepuka sio udhaifu, ni uamuzi.

Lack of self control decline of moral values. Sikuhukumu ila wanadamu tumekuwa wakengeufu sana kila kitu tunachukulia poa. Siku hizi kama huchepuki unaonekana wa ajabu na mshamba. Kuna uzi mwingine huko jamaa anajisifia kuwa kwenye mahusiano na mke wa mtu for 15 years. Anyways, ndo namna tulivyochagua kuishi kama vile hakuna Mungu. Tunafanya tunachojisikia, tunaharibu familia kwa kujenga misingi na mifano mibaya kwenye jamii yetu.
 
Unamuonea wivu mchepuko kama mwanaume umeyumba.. Halafu kufumania watu sio jambo zuri unaweza ukafa
 
Simply wewe ni mchepuko ndani ya mchepuko kwenye huo mchepuko ambao ni malaya, yaan ulitaka kujifanya mme wakati danga! Pole sana
 
Nami nimeona uzi huo hakika nimebaki kusikitika, maamrisho ya aliyetuumba yanageuzwa kabisa. Usizini imekua kama ndio watu wamefunguliwa. Maofisini ukikaa ukisikiza mazungumzo ya vijana na ya wazee wetu unabaki unatoa macho. Mtu anakuambia kwenye uzinifu anamsafishie mke rungu akimpelekea inakua safi. Hakika mola wetu atusamehe
Na tumwombe atuongoze
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ko una mke ila unawivu na mchepuko hatari, kweli wanaume hatupend kushindwa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…